Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Shida ni kwamba mnafatisha kila source inachosema kuhusu UTD,timu kubwa kama UTD lazima iongelewe sana na sio kila kitu kinachongelewa kina ukweli, kuna magazeti mengine wanaongea Rumors tu ili wauze.tafuta reliable source ndo uamini
kinachosemwa, vitu vingine unajiongeza hata ww mwenyewe,ni Kocha gani hapa duniani asiependa top players labda?

Hata Guadiola anatamani City wawe na Messi sema ndo haiwezakani,Woodward hajui mpira lakin sio mjinga kwenye maswala ya pesa atanunuaje wachezaji zaidi ya watano wakubwa wanaocheza nafasi mmoja??.. kuondoka Di maria hakuhusiani na usajili wake bali nikutokana na kushindwa kusettle pale Manchester baada ya nyumba yake kuvamiwa na majambazi (familia yake ikiwa ndani) na kushindwa kuadopt physical nature ya PL.

LVG alisema hivi tulivyo msajili Falcao "When a player of this calibre becomes available, it is an opportunity not to be missed."

Na akasema hivi tulivyo msajili Dimaria: "A world-class midfielder he is a team player there is no doubting his immense natural talent he is a tremendously fast and incisive left-footed player who puts fear into the most accomplished defence. His dribbling skills and his ability to take on and beat opponents are a joy to watch. He is an excellent addition to the team."

Kama alisema haya maneno maana yake alipenda huo usajili sasa sielewi tunachobishana hapa ni nn, unasema hawanunui wachezaji walinunuliwa hao na kocha akawafurahia na bado wakazingua sasa kosa la Glazers hapo ni nini?

Hii makala pia inasema hivi: Van Gaal has also signed defenders Luke Shaw and Marcos Rojo, midfielder Ander Herrera, and forward Angel Di Maria since he was appointed David Moyes's successor in the summer.

hapo bado Hatujamuongelea Depay na Blind (waholanzi wenzake aliowafundisha Uholanzi World Cup), Darmian ,Bastian (ambae walikuwa nae Bayern) Romero (walikuwa nae AZ alkmaar) Valdes (walikuwa nae Barca) Alafu unamsingizia Woodward ndo aliwataka??

Je Damian,Rojo,Herrera,Depay,Matial,Blind,Luke Shaw,Romero,Schneiderlin Ni magalactico hao??

Source ya hizi makala ni BBC SPORTS : Hii ya Falcao na Hii ya Di maria.
You cant be serious kuquote maneno ya press conference mchezaji akisajiliwa, hiyo ni kama hotuba tu inakuwa imeandaliwa na mtu anaongea. Wanafunguka makocha wakiwa hawana mikataba wala sheria inayowabana kama alivyofunguka lvg.

So tukatae na maneno yake mwenyewe lvg ni ya uongo? Au hakuongea yeye ni groundless rumors za magazeti?

Na huyo niliekupa source ni mwandishi wa habari wa united we stand. Ambalo ni jarida la mashabiki wa man U na ameongea na Agent, na hili suala la agents si jambo ambalo halijulikani.

Nikuulize wewe mtetezi wa woodward ni kocha gani alikutana na mino raiola na kutujazia wachezaji wake man united?
Romero, pogba, ibra, mikhi, lukaku etc wote hawa wameletwa na mtu mmoja is it a coincidence? Kwamba makocha wetu wanampenda tu agent mmoja?
 
Kwani mkuu we unacholalamika hapa ni nini maana naona kama tunahama kwenye mada halisi,mwanzo ulidai kwamba Glazers
hawafanyi Investments za maaana kwenye timu na sahv ww mwenyewe unatoa mifano halisi ya wachezaji wa maana ambao
wameshanunuliwa pale mfano Mikhi,Lukaku,Pogba, etc chini ya makocha mbali mbali, Bastian,Blind,Depay,Valdes na Romero wote walikuja sababu ya LVG na aliwataka sababu anawafahmu coz walikuwa pamoja hko alipotoka hyo ni wazi so usisingizie Woodward!

Hao wengine uliowataja hapo walikuja kipindi cha Mou sio LVG na hata kama wapo chini ya agent mmoja kwan tatizo ni nn si ili mradi ni wachezaji wazuri ama we unataka wabaya? Pogba mpka leo ndo tunamtegemea! Ibra ndo alikuwa Top Scorer alivyokuwepo,Micki alifunga bao final Europa (na hyo Pogba pia alifunga), hicho unachosema kwamba LVG alikuwa hawataki (Kina Di maria na Falcao) ushahidi wake ni upi?maana mi nmekupa makala yenye maneno yake mwenyewe na ww toa hyo ambayo anasema alikuwa hawataki kwa maneno yake mwenyewe!
 
Tatizo nyie mnaona mambo juu juu, pep did nothing at Man city,kuna mtu man city walim recruit toka barcelona amefanya kazi yote kuibadili timu ya man city, kujenga academies na mifumo mingine.

Pep amekuja pale sababu ya huyo jamaa, baada ya kuona amesharahisishiwa kila kitu, nipo njiani siwezi kutype sana unaweza ukagoogle zaidi, ila ukiangalia backbone ya man city, Aguero, silva, de bruyne, Fernandinho etc wote kawakuta tayari ameandaliwa.

Na hivyo ndio football club inavyotakiwa kuwa
Mkuu nnakubaliana na wewe kuwa Glazer Ni wafanyabiashara/wawekezaji/investors na Woodward Ni mkurugenzi/CEO pale Utd na kwamba wote wanapenda hela, lakini hebu tuangalie vyanzo vya mapato katika klabu hususani za uingereza (man u), kivyovyote vile Mafanikio uwanjani/pitch performance ndio kila kitu kwenye mapato, kwasababu Mafanikio uwanjani yanaleta vikombe na kuongeza Mashibiki/Trophies & widen fan base, ambayo pia hujangia kukuwa kwa jina la timu na taswira imara/Team or Club Brand & Image, hii inasadia kuvutia MIKATABA minono kutoka kwa makampuni/Business deals
Utajiri iliyonayo Man Utd Leo unatokana na Mafanikio makubwa sana iliyo yapata 1990-2010, imeshinda zaidi ya makombe 20 yakila aina na kuongeza Mashabiki wake kufika zaidi ya 180 milion, hii ilipekea Man Utd kuwa jina kubwa na taswira imara Sana, kitu kilicho vutia makampuni (Vodafone,sharp,Nike, aig, chezlorete,Adidas na n.k)kuingia Mikataba kwa ajiri ya matangazo nayo nakuifanya kutengeza milions of pounds. Man utd ilikuwa club tajiri zaidi duniani kwa miaka 10 mfululizo 2000-2010.

Glazer wanaweza wasiwe wanajua mpira Kama unavyosema, ila ni wafanyabiashara na wawekezaji/investors waliofanikiwa Sana ndio maana wameweza kuwa matajiri hivyo lazima waijua huu mringanyo wa biashara ya mpira(football business equation) kuwa Mafanikio uwanjani ndio yanayeleta hela au faida and vice versa
Woodward pia anaweza asiwe anajua mpira Sana Kama uvyosema ila anajua kufimamia biashara zikafanikiwa na ndio maana alipata hicho kibarua CEO wa man utd, lazima anajua biashara ya mpira kufanikiwa uwanjani ndo chanzo msingi Cha mapato kinachoamsha vyanzo vingine VYOTE

Man City Moto wao wa uwanjani si haba tangu 2009-2019, wameingia nne Bora nakuwa nakubakia humu msimu 8 mfululizo, wameshinda EPL 3, na vikombe vingine, wanafukuzia EPL ingine msimu huu, kwa takwimu za January mwaka huu City Ni club ya 5tajiri zaidi duniani (Madrid,Barca,Utd,Bayern) na ya pili uingereza, ikiwa inazidi kukusanya washabiki lukuki dunia nzima na kimarika kwa taswira yake/brand. Wiki chache zilizopita Man City Group ambayo Ni wamiliki wa man City na na nduguze wamesaini dili na ADIDAS litakayoiingizia City mamilion ya hela kuanzia June/July huku wakianza vaa nembo ya Adidas rasmi.Pia Adidas wambao walichukua dili ya Nike pale Man Utd baada ya mkataba wa Nike kuisha na Nike kushindwa kukubali matakwa ya man u kuatakuongezewa mkanja waliliwaionya man utd 2016 kuwa Kama wanataka kurenew dili hiyo itakapo expire hawana budi kuberesha matokeo yao uwanjani kitu ambocho wamekuwa wakisuasua tangu kustaafu kwa the great Sir A Ferguson.

Summary:
Matokeo uwanjani ndo msingi wa kuamsha vyo vingine VYOTE VYA mapato kwenye biashara ya mpira wa mguu,
Grazer na Woodward Ni wafanyabiashara kwao faida ndo wanachotaka, ndio maana wamewekeza pale OT, mfanyabishara mwenye akili huwa anataka aone hela anatoa Kama kweli inazalisha bahati mbaya msimu 4 timu imetumia zaidi ya 600 milion pounds Bado haonyeshi dalili yeyote ya kimarika kwa matokeo ya uhakika uwanjani na mamakocha wanaomba hell zaidi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanamshambulia Woodward simply he is the only guy they can point fingers at ila sidhani kama Woodward ni mjinga kiasi cha kutumia pesa uselessly namna hiyo.
Shida ni kwamba mnafatisha kila source inachosema kuhusu UTD,timu kubwa kama UTD lazima iongelewe sana na sio kila kitu kinachongelewa kina ukweli, kuna magazeti mengine wanaongea Rumors tu ili wauze.tafuta reliable source ndo uamini
kinachosemwa, vitu vingine unajiongeza hata ww mwenyewe,ni Kocha gani hapa duniani asiependa top players labda?

Hata Guadiola anatamani City wawe na Messi sema ndo haiwezakani,Woodward hajui mpira lakin sio mjinga kwenye maswala ya pesa atanunuaje wachezaji zaidi ya watano wakubwa wanaocheza nafasi mmoja??.. kuondoka Di maria hakuhusiani na usajili wake bali nikutokana na kushindwa kusettle pale Manchester baada ya nyumba yake kuvamiwa na majambazi (familia yake ikiwa ndani) na kushindwa kuadopt physical nature ya PL.

LVG alisema hivi tulivyo msajili Falcao "When a player of this calibre becomes available, it is an opportunity not to be missed."

Na akasema hivi tulivyo msajili Dimaria: "A world-class midfielder he is a team player there is no doubting his immense natural talent he is a tremendously fast and incisive left-footed player who puts fear into the most accomplished defence. His dribbling skills and his ability to take on and beat opponents are a joy to watch. He is an excellent addition to the team."

Kama alisema haya maneno maana yake alipenda huo usajili sasa sielewi tunachobishana hapa ni nn, unasema hawanunui wachezaji walinunuliwa hao na kocha akawafurahia na bado wakazingua sasa kosa la Glazers hapo ni nini?

Hii makala pia inasema hivi: Van Gaal has also signed defenders Luke Shaw and Marcos Rojo, midfielder Ander Herrera, and forward Angel Di Maria since he was appointed David Moyes's successor in the summer.

Hapo bado hatujamuongelea Depay na Blind (waholanzi wenzake aliowafundisha Uholanzi World Cup), Darmian ,Bastian (ambae walikuwa nae Bayern) Romero (walikuwa nae AZ alkmaar) Valdes (walikuwa nae Barca) Alafu unamsingizia Woodward ndo aliwataka??

Je Damian,Rojo,Herrera,Depay,Matial,Blind,Luke Shaw,Romero,Schneiderlin ni magalactico hao??

Source ya hizi makala ni BBC SPORTS : Hii ya Falcao na Hii ya Di maria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juventus naye jana kwa mara ya kwanza kakalishwa viwili na Genoa katika seria A. Ama kweli kwa trend hii ya matokeo, fainali ya UCL itakuwa kati ya Juventus na Manchester United.
 
Juventus naye jana kwa mara ya kwanza kakalishwa viwili na Genoa katika seria A. Ama kweli kwa trend hii ya matokeo, fainali ya UCL itakuwa kati ya Juventus na Manchester United.
IMG_20190318_010901.jpeg

Sent using Unknown device
 
Hapo ulipo bold si kweli, Woodward ameleta mara kibao wachezaji ambao kocha hajawataka au kumnyima kocha wachezaji anaowataka

Lvg alisema haya maneno

“I asked many, many times for players of the highest quality. But I didn’t get the players I wanted.

“I’m disappointed in certain human beings at United — and they know I’m disappointed.

“I am an emotional guy, I say too much in interviews. I am always authentic. You see what you see with me.”

Hapo LVG alikuwa akimsema Woodward.
Ed anafanya footballing decisions wakati hajui hata sheria ya offside (hajui mambo ya mpira)

Hii imetukosti sana kwenye kusajili

Hii ndio maana watu wanamtaka DoF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom