Tanayzer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 3,005
- 7,383
hahahahaha mkuu kwanza hiyo midfield ya Barça siumeiona ilivyosimama leo mkuu watu 4 wakazi kweliNaangalia game ya barca..Messi kapiga free kick mpk nimeogopa
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahaha mkuu kwanza hiyo midfield ya Barça siumeiona ilivyosimama leo mkuu watu 4 wakazi kweliNaangalia game ya barca..Messi kapiga free kick mpk nimeogopa
hahahahaha mkuu kwanza hiyo midfield ya Barça siumeiona ilivyosimama leo mkuu watu 4 wakazi kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi freekick anazopiga mess ,aisee man u mjipange, na kama mtacheza rafu za ovyo ovyo huyo jamaa hatawaacha salama
Sent using Jamii Forums mobile app
Messi kaweka la pili![]()
Jamaa yupo clinical sana, faulo anazijuaNdio maana mm nmeogopa maana mabeki wetu wakiwa kwny presha ya kushambuliwa huwa wanavheza sn faulo za karibu na goli
Messi siyo mpiga free kick mzuri kama Ronaldo huwa anafunga ila kwa kubahataishaNaangalia game ya barca..Messi kapiga free kick mpk nimeogopa
Messi siyo mpiga free kick mzuri kama Ronaldo huwa anafunga ila kwa kubahataisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kama unazungumzia messi wa azam sio huyu wa barca
Hebu leta stats za ronaldo na messi za magoli ya free kick mkuu
38 MessiLabda kama unazungumzia messi wa azam sio huyu wa barca
Hebu leta stats za ronaldo na messi za magoli ya free kick mkuu
Ronaldo akipiga free kick kwenye pembe ya kumi na nane lazima ukae huyo Messi anakosa nyingi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Messi siyo mpiga free kick mzuri kama Ronaldo huwa anafunga ila kwa kubahataisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Messi siyo mpiga free kick mzuri kama Ronaldo huwa anafunga ila kwa kubahataisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Messi kapiga 3...Mungu atusaidie tu siku ya game yetu huyu jamaa asiwe vzr hivi maana hili goli wa 3 balaa



Hapana lvg hakuhusika na usajili wa di maria, falcao, shaw na Herrera. Ilikuwa ni kazi ya woodward na lvg yeye ali approve tu kama kocha ndio maana di maria akaondoka. Philosophy za lvg siku zote haziendani na masuper star wa south America ni nadra kukuta anawasajili.Ni kweli LvG alisema hayo maneno na ni kweli alikuwa anamaanisha Woodward sema ishu sio kwamba Woodward alikataa
kuwaleta bali alishindwa kuwaleta kipindi hicho UTD ilikuwa haina mvuto kuja na tulikuwa hatuna uhakika wa CL,hata hvyo
process ni kwamba Coach anakuwa na List ya wachezaji anaowataka so mfano ikishindikana kumpata mchezaji A" wanasajili
alternative/Mbadala wake kutokana na List aliyotoa Coach mfano hata Moyes alikuwa anamtaka Fabregas kipindi alivyokuwa
Barca sema baada ya FAB kukataa kuja Moyes akasema hata Fellaini sio mbaya na ndo hyo alieletewa,so unatakiwa uelewa
kwamba sio simple tu kwamba ukimtaka flani basi atakuja No wachezaji pia wanaangalia wanaenda kumchezea nani hapo UTD
na atacheza mfumo gani..
LVG alimtaka Bastian akaletewa wote tukaona kilichotokea,Alimtaka Falcao wote tuliona kilichotokea,Valdes,Di Maria etc na wote humu na uhakika tulifurahia sana huo usajili walivyokuwa wanakuja.
Yap Tixi na Ferran Soriano. Tixi amejiunga man City 2012 na wanaokumbuka ndio mwaka wa kwanza wanabeba ndoo. Ukiangalia kabla yake Man city walikuwa wanasajili bora liende kina robinho, tevez, milner etc ila angalia usajili baada ya yeye kuja, wote ni wachezaji ambao wananunuliwa kwa lengo maalum la mfumo fulani.Hope anaitwa Tixi begiristan tena sio peke yake city walivuta wawili yupo na executive wa zaman wa Barça nae so Wenzetu walijua kuplan the future
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana lvg hakuhusika na usajili wa di maria, falcao, shaw na Herrera. Ilikuwa ni kazi ya woodward na lvg yeye ali approve tu kama kocha ndio maana di maria akaondoka. Philosophy za lvg siku zote haziendani na masuper star wa south America ni nadra kukuta anawasajili.
Kiufupi Woodward alitaka kuiga "Galactico" policy ya madrid kumsajilia kocha ma superstar kisha yeye ndio awahandle. Kuna source mbalimbali zina indicate hili suala.
Kuna jamaa ana claim pia Woodward ametoa order ya galactico ili timu ishinde champions league. Hii ndio type ya mtu mwenye hatma ya timu yetu. Anaweza akasajili hata watu wa 5 position moja as long as ni masuper star, utajua mwenyewe kocha unawatumia vipi.
'I know agent who met Man Utd to discuss transfers... FIVE Galacticos mentioned'
Ni quote maneno yake
I know an agent who met Man City and Man United on the same day," Mitten told the Beyond the Pitch podcast.
"He's got good players this lad. He said City were very specific about what they wanted in each position for the next year and two years.
"And he went to United and it was all about names.
"It was all 'if we have five Galatico-style players, that's how you win the European Cup'."