Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu mou aliliweka wazi kwamba anasajiliwa na hawataki kumpa wachezaji anaowataka pale alipoanza ugomvi na Woodward, anaesajili hao wachezaji wabovu ni nani? Kama sio Woodward? Na wewe unasema wabovu ila mwenzako anasajili kibiashara. Wewe sanchez unamuona flop mwenzako anaona bonge la success, woodward ni mfanyabiashara sio mwanasoka, kila siku anajisifia jinsi sanchez alivyovunja record ya twitter na mauzo ya jezi, wachezaji wengi wetu wamesajiliwa kwa.motives ya kuingiza hela zaidi ya kuperform uwanjani.

Na hao kina Glazzer as long as Hela inaingia unafikiri wanajali? The way man u ilivyoundwa ifanikiwe ama isifanikiwe uwanjani hela zitaingia, sababu ni Global brand tayari.

Mou ile kazi ilimshinda aisee kila mtu anajua hilo, si ndo huyo alietuaminisha kwamba kuingia top 4 na kikosi hichi ni miracle au sio hyo?Mou alishapewa hela akawanunua wakina Lindelof,Bailly,Pogba,Matic,Lukaku,Fred,Dalot etc so msitake kusema kwamba hakupewa hela fact ni kwamba alipewa hela sema baadhi ya wacheza aliochukua sio Top level, aliridhika kubaki na kina Rojo,Ashley young,Valencia,Jones,Mata na kuwaacha wachezaji wazuri kama Kina Mendy,Silva,Mahrez,Fabinho,msimu uliofuata baada ya kuzingua ndo akaanza eti kusingizia kikosi kibovu na kwamba anataka hela za kununua beki wakati hata magoli kupata yenyewe ilikuwa ni ishu.

Woordward kazi yake ni kuleta wacheza ambao Coach anataka na sio anaowataka yeye, yeye hajui chochote kuhusu mpira,Mou alinyimwa hela za kusajili beki sababu walishaona jamaa anazingua hvyo ni kama wanatupa tu pesa na hatuendi kokote mfano hata kama tunge msajili hyo beki anaemtaka unafikiri ndo tungefika popote na Mourinho??

Kuhusu Sanchez tusianze lawama za kijinga,hivi hapa tuongee ukweli kuna mtu alipinga usajili wa Sanchez alivyokuwa anakuja? wote si tulifurahi kwamba tunapata jembe!! hata Mou Mwenyewe alifurahi mpaka tuliona Matial alikuwa anakula benchi, Ukweli ni kuwa Sanchez alikuwa one of the best players kwenye ligi alivyokuwa Arsenal so huwezi sema eti alinunuliwa Sababu ya kuuza jezi tu wakati shughuli yake uwanjani ulikuwa unaijua,hata City walikuwa wanamtaka,sema tu ndo imetokea jamaa hajafanikiwa pale UTD na ndo hvyo alishapewa mkataba wa bei mbaya!

Ofcoz kina Glazer wao wanaangalia mpunga sababu ni wafanyabiashara lakini usiseme eti hela hawatoi wakati wote tunajua kikosi chetu ni one of the most expensive kwenye Ligi na ndo Club inayoongoza kulipa wachezaji mshahara mrefu kuliko hata Mancity!
 
Mkuu hata Mimi ndo nmetoka kuandika kitu ka hiki hapo juu........
Glazer wahatakiwa kulaumiwa maaana hela wametoa nyingi TU za usajili sasa Kama makocha wananunua wachezaji wanna feli au wanashindwa kuwatumia to their potentials wao wafanyeje.....

Hela waliyotumia city na utd tofauti Ni ndogo Sana kwa misimu 3 iliyo pita.....

Na hapa ndipo nakula kweli Pep ni kocha Bora maana kaunda timu mbili pale man City na zote Ni Bora kuliko utd kwa budget inayolingana.....

Pia kitu kingne uingereza kocha Ni manager, hivyo Ana maamuzi ya juu na makubwa Sana kwenye NANI ASAJILIWE, ACHEZE/BENCHI, AUZWE/AKOPESHWE ndio maana Pogba 80+ plus Mou alianza kugibisha bench TU hamna wa kumalizia, Chelsea Conte alimfukuza DCoasta alikuwa top scorer wa timu ikabeba kombe, na n.k,
hivyo kwa hela utd imesha zitumia wakulamiwa Ni makocha na wamiliki wa utd...

Sent using Jamii Forums mobile app
mambo mengi yaliopo kwenye hii dunia ukiyafuatilia kwa umakini utagundua yapo pande mbili za faida na hasara, hata huyo kiumbe shetani / jini anayepingwa na pande zote za dini naye pia ana faida zake na hasara kwa watu.

hivyo basi nakubaliana na mawazo yako ya kwamba familia ya glazer hela wameshatowa nyingi kwa makocha tofauti lakini end product yao haionekani. pia upo sahihi ya kwamba huwezi kuilaumu familia ya glazer kwa wachezaji waliopendekezwa na makocha wenyewe wasajiliwe na wakashindwa kutupa faida ndani ya uwanja.

kwa mfano LVG ukiangalia sajili zake nyingi ni zile za wachezaji ambao ni under dog kwa hadhi ya manchester united labda pengine yule mzee na yeye alikuwa na mentality hiyo ya kutafuta average player kwa dhumuni la kuwafanya wawe bora.

lakini ukiangalia hicho walichokitoa familia ya glazer kwa miaka 6 na walichokiingiza kiuwiano haviendani kabisa, kwa faida wanayoitengeneza na uwepo wa FFP kwa miaka ya karibuni haikupaswa manchester united wawe sawa kimatumizi na manchester city.

kuhusu kufeli kwa wachezaji hata guardiola kuna baadhi ya wachezaji aliwasajili na ndani ya msimu mmoja waliposhindwa kufikia matarajio yake aliamua kutafuta wengine sasa kwa nini kiupande wetu inakuwa ni vigumu kwa makocha kufanya maamuzi kama hayo na fedha tunayo?
kwa nini tunaendelea kupapatikia majeruhi jones wakati wenzetu walimuondoa kolarov?
usisahau mr guardiola alirithi timu ambayo tokea wabebe ubingwa wao kwa mara ya kwanza hawajawahi kuondoka ndani ya top 4 tofauti na sisi, vile vile hili gape kati ya city na united lilianza kuchipuka tokea nyakati za ferguson akiwa madarakani.

guardiola huyu unayemzungumzia alikuta kikosi kina wachezaji waliokwisha kamilika kimapambano kama vile kelvin de bruyne, aguero, toure, silva, kompany,sterling, otamendi, hart, clichy, sagna, bony, fernandinho, kolarov, jovetic, delph, dzeko, nasri, jesus navas na bado aliendelea kuleta wapya zaidi ya 10 kwa miaka 2.
 
CHELSEA ANATUPA MATUMAINI YA KUWEPO TOP 4 LAKINI RATIBA YA ARSENAL INATUVUNJA MOYO MASHABIKI WA MANCHESTER UNITED.

Usiangalie Ratiba mkuu kwani we ulijua chelsea anakufa leo? Uzuri wa PL ni kwamba yoyote tu anaweza kukuotea ukikaa vibaya!
top 4 bado safari ni ndefu hakuna mwenye uhakika zaidi ya City na Liverpool
 
mambo mengi yaliopo kwenye hii dunia ukiyafuatilia kwa umakini utagundua yapo pande mbili za faida na hasara, hata huyo kiumbe shetani / jini anayepingwa na pande zote za dini naye pia ana faida zake na hasara kwa watu.

hivyo basi nakubaliana na mawazo yako ya kwamba familia ya glazer hela wameshatowa nyingi kwa makocha tofauti lakini end product yao haionekani. pia upo sahihi ya kwamba huwezi kuilaumu familia ya glazer kwa wachezaji waliopendekezwa na makocha wenyewe wasajiliwe na wakashindwa kutupa faida ndani ya uwanja.

kwa mfano LVG ukiangalia sajili zake nyingi ni zile za wachezaji ambao ni under dog kwa hadhi ya manchester united labda pengine yule mzee na yeye alikuwa na mentality hiyo ya kutafuta average player kwa dhumuni la kuwafanya wawe bora.

lakini ukiangalia hicho walichokitoa familia ya glazer kwa miaka 6 na walichokiingiza kiuwiano haviendani kabisa, kwa faida wanayoitengeneza na uwepo wa FFP kwa miaka ya karibuni haikupaswa manchester united wawe sawa kimatumizi na manchester city.

kuhusu kufeli kwa wachezaji hata guardiola kuna baadhi ya wachezaji aliwasajili na ndani ya msimu mmoja waliposhindwa kufikia matarajio yake aliamua kutafuta wengine sasa kwa nini kiupande wetu inakuwa ni vigumu kwa makocha kufanya maamuzi kama hayo na fedha tunayo?
kwa nini tunaendelea kupapatikia majeruhi jones wakati wenzetu walimuondoa kolarov?
usisahau mr guardiola alirithi timu ambayo tokea wabebe ubingwa wao kwa mara ya kwanza hawajawahi kuondoka ndani ya top 4 tofauti na sisi, vile vile hili gape kati ya city na united lilianza kuchipuka tokea nyakati za ferguson akiwa madarakani.

guardiola huyu unayemzungumzia alikuta kikosi kina wachezaji waliokwisha kamilika kimapambano kama vile kelvin de bruyne, aguero, toure, silva, kompany,sterling, otamendi, hart, clichy, sagna, bony, fernandinho, kolarov, jovetic, delph, dzeko, nasri, jesus navas na bado aliendelea kuleta wapya zaidi ya 10 kwa miaka 2.
Mou ile kazi ilimshinda aisee kila mtu anajua hilo, si ndo huyo alietuaminisha kwamba kuingia top 4 na kikosi hichi ni miracle au sio hyo?Mou alishapewa hela akawanunua wakina Lindelof,Bailly,Pogba,Matic,Lukaku,Fred,Dalot etc so msitake kusema kwamba hakupewa hela fact ni kwamba alipewa hela sema baadhi ya wacheza aliochukua sio Top level, aliridhika kubaki na kina Rojo,Ashley young,Valencia,Jones,Mata na kuwaacha wachezaji wazuri kama Kina Mendy,Silva,Mahrez,Fabinho,msimu uliofuata baada ya kuzingua ndo akaanza eti kusingizia kikosi kibovu na kwamba anataka hela za kununua beki wakati hata magoli kupata yenyewe ilikuwa ni ishu.

Woordward kazi yake ni kuleta wacheza ambao Coach anataka na sio anaowataka yeye, yeye hajui chochote kuhusu mpira,Mou alinyimwa hela za kusajili beki sababu walishaona jamaa anazingua hvyo ni kama wanatupa tu pesa na hatuendi kokote mfano hata kama tunge msajili hyo beki anaemtaka unafikiri ndo tungefika popote na Mourinho??

Kuhusu Sanchez tusianze lawama za kijinga,hivi hapa tuongee ukweli kuna mtu alipinga usajili wa Sanchez alivyokuwa anakuja? wote si tulifurahi kwamba tunapata jembe!! hata Mou Mwenyewe alifurahi mpaka tuliona Matial alikuwa anakula benchi, Ukweli ni kuwa Sanchez alikuwa one of the best players kwenye ligi alivyokuwa Arsenal so huwezi sema eti alinunuliwa Sababu ya kuuza jezi tu wakati shughuli yake uwanjani ulikuwa unaijua,hata City walikuwa wanamtaka,sema tu ndo imetokea jamaa hajafanikiwa pale UTD na ndo hvyo alishapewa mkataba wa bei mbaya!

Ofcoz kina Glazer wao wanaangalia mpunga sababu ni wafanyabiashara lakini usiseme eti hela hawatoi wakati wote tunajua kikosi chetu ni one of the most expensive kwenye Ligi na ndo Club inayoongoza kulipa wachezaji mshahara mrefu kuliko hata Mancity!
Hapo ulipo bold si kweli, Woodward ameleta mara kibao wachezaji ambao kocha hajawataka au kumnyima kocha wachezaji anaowataka

Lvg alisema haya maneno

“I asked many, many times for players of the highest quality. But I didn’t get the players I wanted.

“I’m disappointed in certain human beings at United — and they know I’m disappointed.

“I am an emotional guy, I say too much in interviews. I am always authentic. You see what you see with me.”

Hapo LVG alikuwa akimsema Woodward.
 
Usiangalie Ratiba mkuu kwani we ulijua chelsea anakufa leo? Uzuri wa PL ni kwamba yoyote tu anaweza kukuotea ukikaa vibaya!
top 4 bado safari ni ndefu hakuna mwenye uhakika zaidi ya City na Liverpool
mkuu upo sahihi sana.
zitakapomaliza mechi za kimataifa tunapaswa turudi na nguvu ile tuliomfunga cardiff magoli 5
ahsante sana.
 
Hapo ulipo bold si kweli, Woodward ameleta mara kibao wachezaji ambao kocha hajawataka au kumnyima kocha wachezaji anaowataka

Lvg alisema haya maneno

“I asked many, many times for players of the highest quality. But I didn’t get the players I wanted.

“I’m disappointed in certain human beings at United — and they know I’m disappointed.

“I am an emotional guy, I say too much in interviews. I am always authentic. You see what you see with me.”

Hapo LVG alikuwa akimsema Woodward.
ukizifuatilia hizi interview za makocha waliopita kuna mambo mengi sana yalio nyuma ya pazia wamekuwa wakiyazungumza kuhusiana na manchester united.

mkuu unadhani labda klabu ilikuwa haiwapi ruhusa kuweka hadharani mambo ya klabu baadhi ya waajiriwa wake?
mbona mourinho alikuwa anabwatuka hadharani bila ya uoga?
 
Hapo ulipo bold si kweli, Woodward ameleta mara kibao wachezaji ambao kocha hajawataka au kumnyima kocha wachezaji anaowataka

Lvg alisema haya maneno

“I asked many, many times for players of the highest quality. But I didn’t get the players I wanted.

“I’m disappointed in certain human beings at United — and they know I’m disappointed.

“I am an emotional guy, I say too much in interviews. I am always authentic. You see what you see with me.”

Hapo LVG alikuwa akimsema Woodward.

Ni kweli LvG alisema hayo maneno na ni kweli alikuwa anamaanisha Woodward sema ishu sio kwamba Woodward alikataa

kuwaleta bali alishindwa kuwaleta kipindi hicho UTD ilikuwa haina mvuto kuja na tulikuwa hatuna uhakika wa CL,hata hvyo

process ni kwamba Coach anakuwa na List ya wachezaji anaowataka so mfano ikishindikana kumpata mchezaji A" wanasajili

alternative/Mbadala wake kutokana na List aliyotoa Coach mfano hata Moyes alikuwa anamtaka Fabregas kipindi alivyokuwa

Barca sema baada ya FAB kukataa kuja Moyes akasema hata Fellaini sio mbaya na ndo hyo alieletewa,so unatakiwa uelewa

kwamba sio simple tu kwamba ukimtaka flani basi atakuja No wachezaji pia wanaangalia wanaenda kumchezea nani hapo UTD

na atacheza mfumo gani..

LVG alimtaka Bastian akaletewa wote tukaona kilichotokea,Alimtaka Falcao wote tuliona kilichotokea,Valdes,Di Maria etc na wote humu na uhakika tulifurahia sana huo usajili walivyokuwa wanakuja.
 
Tatizo nyie mnaona mambo juu juu, pep did nothing at Man city,kuna mtu man city walim recruit toka barcelona amefanya kazi yote kuibadili timu ya man city, kujenga academies na mifumo mingine.

Pep amekuja pale sababu ya huyo jamaa, baada ya kuona amesharahisishiwa kila kitu, nipo njiani siwezi kutype sana unaweza ukagoogle zaidi, ila ukiangalia backbone ya man city, Aguero, silva, de bruyne, Fernandinho etc wote kawakuta tayari ameandaliwa.

Na hivyo ndio football club inavyotakiwa kuwa
Hope anaitwa Tixi begiristan tena sio peke yake city walivuta wawili yupo na executive wa zaman wa Barça nae so Wenzetu walijua kuplan the future

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom