Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,371
Amecheza na timu ambayo ilikuwa ya kwanza kuifinga barca nou camp msimu huu ni timu bora zaidi ya Wolves
Hilo pia ni la kuangalia tusiishie kulialia tu bila kuzingatia team anayocheza nayo pia
Ww utakuwa mpira huangalii.ila unasimuliwaRonaldo akipiga free kick kwenye pembe ya kumi na nane lazima ukae huyo Messi anakosa nyingi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jose Mourinho:
"Paul Scholes criticised me when I was the manager at some of the biggest clubs in the world while he only lasted for 31 days at Oldham Athletic. Go back to the studio." Football Factly on Twitter
Sent using Jamii Forums mobile app
Woodward ni Accountant na yuko vizuri Sana kwenye marketing but now ana-approval technical decision ndio makosa makubwa yanafanyika hapo.Na Glazer wanaona Woodward anafanya vizuri sababu nje ya uwanja still club inaendelea kutengeneza faidaWatu wanamshambulia Woodward simply he is the only guy they can point fingers at ila sidhani kama Woodward ni mjinga kiasi cha kutumia pesa uselessly namna hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Woodward ana mwajiri Mourinho ambaye tunamfahamu ni kocha anayetaka ready made players ,anamuongezea mkataba na anagoma kumpa fedha za usajili then anamfukuza na kumlipa £20maWatu wanamshambulia Woodward simply he is the only guy they can point fingers at ila sidhani kama Woodward ni mjinga kiasi cha kutumia pesa uselessly namna hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Woodward ana mwajiri Mourinho ambaye tunamfahamu ni kocha anayetaka ready made players ,anamuongezea mkataba na anagoma kumpa fedha za usajili then anamfukuza na kumlipa £20ma
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndotoooooooooo...Juventus naye jana kwa mara ya kwanza kakalishwa viwili na Genoa katika seria A. Ama kweli kwa trend hii ya matokeo, fainali ya UCL itakuwa kati ya Juventus na Manchester United.
Woodward alikuwa sahihi kumfukuza Mourinho ambaye alipewa hela ya kusajili wachezaji.
Pogba
Sanchez
Baily
Mikhtarian
Lindelof
Fred
Ambao wote alikuwa hawatumii na wengine akagombana nao bila hata sababu za msingi.
Hapa Woodward angetoa pesa tena za usajili ndiyo angeonekana mjinga haiwezekani umpe mtu hela ya kusajili wachezaji 6 asiwatumie wote halafu aombe tena pesa ya kusajili
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana juve alipumzisha wachezaj wengi ,usichukulie poa ,kuanzia kipa kadaka namba 2 yule mattia,Juventus naye jana kwa mara ya kwanza kakalishwa viwili na Genoa katika seria A. Ama kweli kwa trend hii ya matokeo, fainali ya UCL itakuwa kati ya Juventus na Manchester United.
Haya Mou kaondoka, mahitaji ya defender yapo au hayapo?Mourinho aliongezewa mkataba akiwa hajaanza figisu figisu, kitendo cha yeye kuomba kusajili defender halafu kikosini anadefenders watano na hawatumii wote hata kama ungelikuwa wewe ni Woodward kisingeingia akilini.
Sent from my Solar mini using JamiiForums mobile app
Akikujibu nitagHaya Mou kaondoka, mahitaji ya defender yapo au hayapo?
Kumbuka hao defender watano ni
Rojo-spana mkononi
Jones-
Smalling
Bailly
Lindelof
Sent using simu mbovu
Mkuu yapo, ila Mou alikuwa anaomba milion 70 pound ili asjili defender atakaye msaidia kulinda asifungwe na Newcastle,(siriasi timu zote zizomfunga man u zinamadeffender ghali kiasi hicho)Haya Mou kaondoka, mahitaji ya defender yapo au hayapo?
Kumbuka hao defender watano ni
Rojo-spana mkononi
Jones-
Smalling
Bailly
Lindelof
Sent using simu mbovu

Subiri, utaona na kujua kama ni ndoto ama la.Ndotoooooooooo...