OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
"Alisikika mlevi mmoja akisema hivi.."FA kwetu sio muhimu kulinganisha na vita ya top four. All in all mapambano yanaendelea
Mkuu hujui kuwa VAR ndo straika mpya ya manureEt kajiangusha, hakusukumwa? Hebu acha unazi bhana,
Usitake kutegemea var , mbona kwa PSG mlipewa penalty ya utata kwa hiyo hiyo VAR,
Kipigo ni kipigo tu,
Sent using Jamii Forums mobile app
As if hakuna manager aliechezea vichapo epl?
Lakin aliooteza ngapi? Huyu hajamaliza msimu so huwez mlingajisha na jose.Jose Felix Mourinho kwenye msimu wake wa kwanza alishinda kikombe, as you know football is all about trophies na sio kuruka ruka touch line
Sent using Jamii Forums mobile app
Aise walikuponda sana mze baba ..kuhusu Mourihno ulikuwa sawa kabisa..Usikurupuke ku comment kama ni mgeni humu, tafuta post yangu yoyote ambayo nimewahi kisifia hiki kikosi na kocha wao, ukiipata moderator wanipige ban sasa hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulipo draw nao hizi ndorobo ziliongea sana..hahahahaMmeona shughuli ya Wolves ilivyo.? Wakati mwingine ni kheri kulinda kauli kuliko kuwa mlopaji kumbe wewe shughuli huiwezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mou na ole nan kocha mkuu ..achaga ubishi wa kijinga ..Lakin aliooteza ngapi? Huyu hajamaliza msimu so huwez mlingajisha na jose.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora yako wewe uliona kilichoendelea,,,Game tulianza vizuri ila matokeo ndio haya tujipange kwa mchezo unaofuatia
haaaaaaaahassss
Wale walikua wanamuona Dalot ni mwokozi wetu, hawezi kupeleka mpira mbele (bogus kabisa) ndio ameongoza kurudisha mipira nyuma. Takwimu zinaonesha hapa 90% ya pasi zake ni nyuma.Leo Back pass zilikuwa nyingi kama Enzi za Van Gaal
Hivi hujui na wewe una game nae? Na ilikuwa ichezwe jana sema ikafutwa kutokana na hii FA. Kumbuka mechi ya kwanza alikukalisha.Man utd lengo langu sio kuwatisha ila ni kuwapa tu taarifa mna game na Wolves kwenye liginatamani kucheka ihihiiihiiii ila najibanaaaaa uvumilivu unanishinda bhana
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliongea hapa nikatukanwa sana..yaani unamuacha nje mpambanaji/mchakarikaji Mata, unaanzisha hiyo takataka. Martial mvivu sana, anasimama sana kule mbele Shaw anapata shida sanaaaaa.
Niliwaambia na bado mtagongwa sana hv sasaWolV 1 man Utd 0
70 Min, tuna 20min!
renegade
Wanashika nafas ya ngapi kwenye ligi....Wolves ni watu hatari sana
Si mnajifanya mnaishi kwa matumaini subiriniNashawishika kuamini kwamba Barca wanaenda kutuvua nguo.