Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,638
Man city 3 Swansea 2
kweli kawapa msijali. Usipende vya mteremkoSwansea anatupa kombe la FA leo
Man City yumo, Swansea nje.
usiangaike kupoteza mbs zako pira la ovyo ovyo to the maximum point
Kabisa mkuu yaaani wachezaji kama wameokotwa na kuletwa uwanjani kuanzia pogba, lingard, Rashford wote ovyo kabisausiangaike kupoteza mbs zako pira la ovyo ovyo to the maximum point