ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,428
- 24,145
Hakuna timu ya epl tuliyopangwa nayo uefa ikatutoaMnapenda mlima kitonga tunawata nyie mje mfanye comeback zenu ANFIELD tuone.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna timu ya epl tuliyopangwa nayo uefa ikatutoaMnapenda mlima kitonga tunawata nyie mje mfanye comeback zenu ANFIELD tuone.
Champions League quarter final
I prefer Spurs,Barca au Porto
Ukiingia fainali na Liverpool ( ya Klopp) una uhakika wa kuchukua ubingwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini upo UCL wakati unaogopa kupambana na wanaume wenzako?Timu nisizozitaka ni Man City, Barca na wale madogo Ajax.
Timu ninazozitamani ni Man Utd, Porto na Tottenham.
Kwanini upo UCL wakati unaogopa kupambana na wanaume wenzako?
Si bora ujitoe mashindanoni?
Sisi united ukitupa yeyote tunafumua.
Sent using Jamii Forums mobile app
muda huu nilikuwa naangalia marejeo ya magoli aliyoyafunga CR7 dhidi ya atletico madrid, nimebaki nashangaa kumuona tena huyu gwiji ronaldo anapopiga kichwa chenye nguvu katikati ya mabeki wagumu kama diego godin na anafunga mara mbili.
baadae naamua kujikumbusha kwa kubonyeza link yenye kuonyesha marejeo ya marcus rashford anapopiga kichwa akiwa peke yake bila ya kubughudhiwa na mchezaji yeyote wa Arsenal na hatimaye anapoteza nafasi baada ya kupiga kichwa dhaifu,
Kiukweli wanafanya dhambi kubwa sana wale wote wanaojiaminisha ya kwamba siku moja marcus rashford atakuwa mchezaji hodari kama ronaldo kwa kutumia kigezo cha umri wake na si bidii yake ya kujifunza .
Pia wanafanya dhambi kubwa sana wale wote wanaomshabikia marcus rashford unapokuja mjadala wa nani zaidi kati yake na kylian mbappe.
kwa mtazamo wangu mechi nne zilizopita marcus rashford amecheza ovyo zaidi kuliko mchezaji yoyote anayecheza eneo la ushambuliaji kwenye timu yetu lakini cha ajabu unaoneka udhaifu wa touch mbovu za romelu lukaku.
Dakika 10 za greenwood zilinifurahisha hapo juzi kuliko dakika 90 za rashford
Hakuna mtu simwamini kama Rashford pale OT, na bahati mbaya huyo ndio haguswi kbs hata akiingia uwanjani akaamua kukaa chini adi dk90 ziishe. Ukweli mchungu..huwezi shinda chochote kwa kumtemea rashford!Ole anatakiwa aanze kumkaripia Rashford.
MUFC pia inakabiliwa na changamoto ya wachezaji kutojituma. Leo anacheza vizuri,anapotea tena anarudi baada ya mechi tano. Hawa sio wachezaji wa kushinda nao makombe.
Angalia Mane anavyojituma,anaweka kichwa na mguu popote ili afunge goli.
MUFC ina wachezaji wenye vipaji kuliko Liverpool,Chelsea na Arsenal ila tatizo lipo katika kujituma na kubaki katika ubora wao.
Huyo Pogba anayesifiwa naye akikabwa na kuporwa mpira mara mbili tatu anatoka mchezoni na kuanza rafu za kijinga.
Kama Ole akipewa timu ni vyema akapewa wachezaji wa kazi.Hawa akina Martial,Rashford katika eneo la ushambuliaji bado sio wakutegemea. Matic pia nadhani huu ndio msimu wake wa mwisho.
Scott na Pereira ndio wachezaji pekee wasio na utoto japo ni watoto.
Ni kama asernane walivyokua wanategemea watotoHakuna mtu simwamini kama Rashford pale OT, na bahati mbaya huyo ndio haguswi kbs hata akiingia uwanjani akaamua kukaa chini adi dk90 ziishe. Ukweli mchungu..huwezi shinda chochote kwa kumtemea rashford!
Sent using Jamii Forums mobile app
Juventus tutakutana naye Fainali.I prefer Liverpool, Barca, Man City or Juventus
Will be disappointed if the draw decide us to play Spurs, Ajax or Porto
Sent using Jamii Forums mobile app
muda huu nilikuwa naangalia marejeo ya magoli aliyoyafunga CR7 dhidi ya atletico madrid, nimebaki nashangaa kumuona tena huyu gwiji ronaldo anapopiga kichwa chenye nguvu katikati ya mabeki wagumu kama diego godin na anafunga mara mbili.
baadae naamua kujikumbusha kwa kubonyeza link yenye kuonyesha marejeo ya marcus rashford anapopiga kichwa akiwa peke yake bila ya kubughudhiwa na mchezaji yeyote wa Arsenal na hatimaye anapoteza nafasi baada ya kupiga kichwa dhaifu,
Kiukweli wanafanya dhambi kubwa sana wale wote wanaojiaminisha ya kwamba siku moja marcus rashford atakuwa mchezaji hodari kama ronaldo kwa kutumia kigezo cha umri wake na si bidii yake ya kujifunza .
Pia wanafanya dhambi kubwa sana wale wote wanaomshabikia marcus rashford unapokuja mjadala wa nani zaidi kati yake na kylian mbappe.
kwa mtazamo wangu mechi nne zilizopita marcus rashford amecheza ovyo zaidi kuliko mchezaji yoyote anayecheza eneo la ushambuliaji kwenye timu yetu lakini cha ajabu unaoneka udhaifu wa touch mbovu za romelu lukaku.
Dakika 10 za greenwood zilinifurahisha hapo juzi kuliko dakika 90 za rashford
Njia ni njia tu mkuu haijalishi unakutana na naniJuventus tutakutana naye Fainali.
Robo fainaili tupangwe na nani??
Mimi naona watupe porto au spurs
Nahic itakua Derby...lets wait keshoView attachment 1045742
City msimu huu ana bahati sanaNjia ni njia tu mkuu haijalishi unakutana na nani
Juzi hapa city carabao anakutana na vitimu vya daraja la nne huko hadi final
Kaja Fa bado vya championship
Huko uefa hamna hata mwamba aliekutana nae hadi robo final kafika
Paul scholes alidhan ukocha ni sawa na uchambuzi....kaachana na oldham baada ya kuifundisha siku 31 tu na hajashinda mechi yoyote
Sent using Jamii Forums mobile app