Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

We didn’t want the ball because when Barcelona press and win the ball back, we lose our position – I never want to lose position on the pitch so I didn’t want us to have the ball, we gave it away, I told my players that we could let the ball help us win and that we had to be compact, closing spaces.” (jose mourinho).

maneno haya aliyazungumza jose mourinho baada ya kumalizika kwa mechi ya pili ya nusu final kati ya inter milan na barcelona mwaka 2010 pale nou camp.
  • tunacheza na timu ambayo ni bora linapokuja suala la umiliki wa mpira kuliko juventus na PSG
  • tunacheza na timu ambayo ni bora linapokuja suala la pressing (tension unayompa mpinzani wako pindi unapopoteza mpira) kuliko liverpool na manchester city.
  • tunacheza na timu ambayo ni mabingwa wa kuwapa timu pinzani pressure hali inayopelekea wapinzani kupoteza muelekeo wanapokuwa na mpira na wasijue cha kufanya.
wakuu tunatokaje hapa?​
kuna uwezekano na sisi tutamuiga kocha wetu wa zamani na mbinu zake za kuwaruhusu barcelona wawe na mpira kila wakati huku tukiwazuia wasifike kwenye eneo letu la hatari?

kufanya hivyo je tuna ukuta kama wa inter milan ya mwaka 2010?

upande wa kushoto wa barcelona ndio chachu yao kubwa ya mafanikio kwa sababu ya ushirikiano wa jordi alba na lionel messi, ukija kwetu sisi upande wetu wa kulia hatupo vizuri hususani kwenye kushambulia na hata kulinda kwa nidhamu, hivyo basi adui yoyote tutakayekutana naye atautumia udhaifu huu tulionao kabla hata ya mechi kuanza, tunajiandaaje kwa ajili ya kuwazuia wendawazimu watatu (alba + messi + dembele/ coutinho) na wakati huo huo tunawapa pressure upande wa kushoto ili alba apunguze kiherehere cha kushambulia mara kwa mara?

ernesto valverde naye pia ni mwendawazimu linapokuja suala la kujilinda na kama kilichotukuta mechi ya PSG walipomzuia paul pogba upande wa kushoto pia na barcelona wanao uwezo huo wa kumzuia labile, je tuna plan nyengine kama barcelona na wao wataamua kuja na style ya man marking kwa paul pogba, tukumbuke psg walipomzuia pogba tulipiga shuti moja kwa dakika 90.
mwezi huu mmoja uliobaki kama ningelikuwa nipo karibu na OGS ningelimshauri amuondoe nemanja matic na nafasi yake ichukuliwe na herrera huku nafsi ya pogba acheze fred kama ilivyokuwa mechi ya pili ya PSG.
HERRERA + MATIC + FRED​

picha halijaanza nishadata, picha halijaanza nishachanganyikiwa
Mioyo ya mashabiki wa Man u inazizima kwahofu plus kukata tamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*AJAX vs JUVENTUS*

Ajax eliminated Real Madrid, Juventus eliminated Athletico Madrid. Both teams eliminated are from Spain.

*TOTTENHAM HOTSPURS vs MANCHESTER CITY*

Tottenham eliminated Borussia Dortmund, Manchester City eliminated Schalke 04. Both teams eliminated are from Germany.

*BARCELONA vs MANCHESTER UNITED*

Barcelona eliminated Olympique Lyonnaise, Manchester United eliminated Paris Saint Germaine. Both teams eliminated are from France.

*Coincidence? Or fixed? *
Duu

fixed 100%
 
Sikilizeni Wakuu hapa tunacheza UEFA CHAMPIONS LEAGUE yaani ligi ya mabigwa so kukutana na Barca kusitufanye tukose

amani..Ukicheza champions league lazima ukutane na timu za maana la sivyo basi tukacheze EUROPA,Barca ni timu kubwa so

lazima uipe heshima yake lakin hata sisi wenyewe ni timu kubwa vile vile! nahata ikitokea tumefungwa kwani cha ajabu ni nn?kwani

tulikuwa tunategemea kushinda UEFA msimu huu? tuongee ukweli! Barca sio kwamba hawezi kufungwa anafungika vizuri tu sema

tunatakiwa tuwe na roho ngumu,Mechi zao nyingi nimeziangalia Barca wanamtegemea Messi sana na mara nyingi Messi

asipokuwa mchezoni huwa timu yao ina shake sana,kama tukicheza kitimu na tukaweza kumtoa Messi mchezoni naona

tunachance nzuri tu kufuzu Nusu fainali,ila pia naamini kuna michezo inafanyika hko UEFA kwenye hizi draw siku hizi mpira

umekuwa biashara sana, yaani pesa ndo inaamua kila kitu!
 
Ukijaribu kuangalia hizi Draw za Mancity na Barca huwa nina mashaka nazo mara nyingi sana unakuta wanakutana na Vibonde ss sielewi,kinaendelea nn ila sio kawaida hii..
Nani kibonde sasa hapo? Barca amepangiwa Man U. Kwani man u ni kibonde? Mmmmh haya
 
Nani kibonde sasa hapo? Barca amepangiwa Man U. Kwani man u ni kibonde? Mmmmh haya

Siongelee draw hii tu kama umeanza kufatilia mpira muda mrefu utaelewa nasema nn,mara nyingi Barca amekuwa akikutana na timu za maana baadae sana na sio mwanzoni hzi ni mbinu za kibiashara kufanya mashindano yavutie zaidi ili waingize pesa nyingi zaidi.
 
Siongelee draw hii tu kama umeanza kufatilia mpira muda mrefu utaelewa nasema nn,mara nyingi Barca amekuwa akikutana na timu za maana baadae sana na sio mwanzoni hzi ni mbinu za kibiashara kufanya mashindano yavutie zaidi
Jibu sasa kibonde ni nani? Mm nimeanza kufuatilia mpira juzi juzi tu. Kwahiyo hata PSG ilipangiwa kibonde? Tuongelee droo hii au iliyopita, tuachanane na history.
 
Sikilizeni Wakuu hapa tunacheza UEFA CHAMPIONS LEAGUE yaani ligi ya mabigwa so kukutana na Barca kusitufanye tukose

amani..Ukicheza champions league lazima ukutane na timu za maana la sivyo basi tukacheze EUROPA,Barca ni timu kubwa so

lazima uipe heshima yake lakin hata sisi wenyewe ni timu kubwa vile vile! nahata ikitokea tumefungwa kwani cha ajabu ni nn?kwani

tulikuwa tunategemea kushinda UEFA msimu huu? tuongee ukweli! Barca sio kwamba hawezi kufungwa anafungika vizuri tu sema

tunatakiwa tuwe na roho ngumu,Mechi zao nyingi nimeziangalia Barca wanamtegemea Messi sana na mara nyingi Messi

asipokuwa mchezoni huwa timu yao ina shake sana,kama tukicheza kitimu na tukaweza kumtoa Messi mchezoni naona

tunachance nzuri tu kufuzu Nusu fainali,ila pia naamini kuna michezo inafanyika hko UEFA kwenye hizi draw siku hizi mpira

umekuwa biashara sana, yaani pesa ndo inaamua kila kitu!
Unajipa moyo uku unalia lia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Barca anafungika vizuri tu.

Hakuna mtu aliipa nafasi MUFC kuanzia mwanzo.
Kwenye hatua ya makundi chance ya kupita alipewa Juve na Valencia.

16 bora alipewa nafasi PSG.

Hapa pia MUFC haipewi nafasi, tusubiri kuona mpira ulivyo mchezo katili.

Barcelona anatupwa nje na Semi-final ni MUFC vs FC Porto.
 
Jibu sasa kibonde ni nani? Mm nimeanza kufuatilia mpira juzi juzi tu. Kwahiyo hata PSG ilipangiwa kibonde? Tuongelee droo hii au iliyopita, tuachanane na history.

Kama ungekuwa makini kusoma vizuri post zangu ungeelewa nimeongelea Draw za Barca na Mancity! na nimeongea hvyo kutokana na historia inavyosema sasa sielewi point yako hapo haswa ni ipi!
 
Back
Top Bottom