Manchester United (Red Devils) | Special Thread

congrats wakuu

ila evra na suarez wote ni vichaa tu, hakuna mwenye nafuu
 
Suarez ni Mpuuzi sana........ubaguzi wake unajionyesha wazi kabisa toka kombe la Dunia in South Africa........hafai kuwepo kwenye soka.........."NOTHING BETTER THAN BEATING LIVERPOOL" (By SAF)........and moreover "nothing better seeing RACIST LOOSERFOOLS get a beat (Ogah, 2012)..............

Nachukia sana ubaguzi.......na walaaniwe wale wote wanaounga vitendo vya huyu nguruwe suarez............
 
Amen brother....To hell with the damn Racist.
 
congrats wakuu

ila evra na suarez wote ni vichaa tu, hakuna mwenye nafuu

......Yes Evra anaweza kuwa kichaa in your opinion......but in my opinion he is NOT stupid..............suarez ni kichaa na pia ni STUPID!...baguzi la kutupwa lisilofaa kuwemo kwenye friendly sport kama soccer...............damn
 
upo sawa kabisa!
 
Patrice-Evra-and-Liverpool-players-Manchester_2716984.jpg

Luis-Suarez_2716954.jpg
 
Naona leo wazee wa kulalamika kuwa tumebebwa hawapo, au leo hatujabebwa? Wapi wacha 1
 
sijui kama kuna haja ya kushangilia huyo puga evra maana jamaa katikisa nyavu zao ange kaa kimya tu msinambwi
 
Back
Top Bottom