Kombo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,812
- 511
Goli mbili za fasta!!!!! Yaani hapa Liver ndo washapoteana!!!! Any Comeback???? Lets wt n c!!!!
Muda bado, ngoja tuone!
Goli mbili za fasta!!!!! Yaani hapa Liver ndo washapoteana!!!! Any Comeback???? Lets wt n c!!!!
ligi ya uingereza ina mfumo man U
sikubali.
ligi ya uingereza ina mfumo man U
sikubali.
Unaweza kufafanua zaidi tukakuelewa hapo una maanisha nini??
wachezaji 12 uwanjani
kila mechi
wachezaji 12 uwanjani
kila mechi
Hakika. Lakini si unajua Man U uwa hawaridhiki?
Duh! Mbona ref yupo fair sana?
Au unamaanisha nini?