Halafu huyu hernandez inabidi afundishwe control kidogo anapoteza sana mipira mbele
So sad news kwa valencia kutoka
Dah tunamhitaji sana kijana,hope atakuwa fit next week............So sad news kwa valencia kutoka
Viva Man Utd, poleni sana wale wote mliokuwa mnatuombea njaa!!!