Ningependa kuwapa pongezi Wapinzani wangu wa United, Ila Suarez mie muda mwengine nashindwa kuelewa kichwa chake na ubongo wake ni vipi? na hapohapo British People waache kelele wao ndio mibaguzi hakuna tena wanafiki tu. wapewe huyo Harry wao tuone watafika wapi? round ya pili bahati kwao.
pazi,huwa napenda sana comments zako!ziko fair mfano hakuna!sishangai unashabikia liverpool,kwangu mimi mashabiki wa liverpool kiujumla ndio mashabiki wanaoheshimika zaidi kiushabiki na ndio ninaowaheshimu zaidi!big up bro!by the way wewe ni Iddi Pazi?teh!teh!teh
Habari za siku mkuu...GGMU!KIMENUKA.... Kama Chelsea the other side....
Jirani pole kwa maumivu kila siku mnaambiwa ukubwa dawa............ngoja tusubiri AC Milan watawafanya nini Emirates.
NB: Kuna tetesi mtaani refa alipewa bahasha na mafioso wa darajani, tusubiri domino effect.........
Aisee huyu Nani apunge ubinafsi kidogo......aangalie timu kwanza.
nani na young leo vmeo...