Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Rooney Utu uzima una tafu sana!!! Kavutwa shati namna ile bila ku react back!!!!!!!
 
hahahahaha!! Evra si mchezo, naona alikuwa anajaribu kum-wind up Suarez baada ya kipenda cha mwisho....
 
Congratulation Wadau!!!! Nice win with Three points and Climbing up to the summit of the Table... For some few Hrs may be!!!!
 
Kwa wana-Msimbazi karibuni kwenye jukwaa letu, sherehe inaendelea....

SIMBA 2 AZAM 0
 
hahahahaha!! Evra si mchezo, naona alikuwa anajaribu kum-wind up Suarez baada ya kipenda cha mwisho....

Mzuka wa mpira huo. Si uliona mpuuzi Suarez wakati anashangilia goli,alivyobusu ngozi yake ya kitimoto?!
 
Back
Top Bottom