Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,731
Wewe na soksi wako mtaondoka mikono nyuma
Yes[emoji117]In 2007 Liverpool lost Champions League final[emoji471][emoji196]
[emoji117]In 2008 Manchester United won Champions League final[emoji471][emoji195]
[emoji117]In 2016 Liverpool lost Europa League final[emoji471][emoji196]
[emoji117]In 2017 Manchester United won Europa League final[emoji471][emoji195]
[emoji117]In 2018 Liverpool lost Champions League final[emoji471][emoji196]
[emoji117]In 2019 are u thinking what am thinking about??[emoji16][emoji91]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilazima watukanane maana kwa hali waliyonayo na wakiangalia kilichomkuta psg hawaoni ni wapi watajiepusha na FIMBO za Ole jumapili.Nimepitia uzi wa Arsenal nmekuta wanatukanana wenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] wapambane na hali yao, mana mambo ni mengi na muda ni mchache!Nimepitia uzi wa Arsenal nmekuta wanatukanana wenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa jinsi marefa wanavyowapenda mnaeza bahatisha draw na Chelsea..
Kuna Siku itawageukia..VAR is Bae
[emoji173][emoji173][emoji173][emoji257][emoji257][emoji257]
Sent using Jamii Forums mobile app
Walistahili kushinda lakin sio kufuzu, haikuwa penalty halali...Kiongozi.
Wapongeze WADAU wetu.
Kwa kweli wanastahili pongezi.
Hakuna upendeleo wowote
Yani uku mtaani, mitandaoni kote mnasumbua ..kama mmefika fainal vile au ndo mumeshanyanyua kwapa..Kwa hiyo refa alizuia wao psg wasifunge magoli?
[emoji23] [emoji23] [emoji30] [emoji30] [emoji30]Nimepitia uzi wa Arsenal nmekuta wanatukanana wenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Apo kwa Man city mtapoteana.Wakuu liverpool akikaza mech zilizobak ubingwa wake sion man city akishinda old traford akijitahidi suluhu
Mzee mama umeshinda nini tatizo au ndo furaha ya ushindi...Mazoea ya kindezi sipendi
Wanajiona wao ndio wameweka record tu..Kumbuka Arsenal na Inter Milan.
Arsenal alikufa 4 highbury alivyoenda Italy Inter alipigwa 5 kwa 1.
Sent using Jamii Forums mobile app