Young ataongezeka kwenye midfield.Tunaenda kuzuia ama vipi?? Lakini yote matokeo leo nipo tayari kwa lolote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Young ataongezeka kwenye midfield.Tunaenda kuzuia ama vipi?? Lakini yote matokeo leo nipo tayari kwa lolote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa yuko vizuri sahivi, hivi Ni Mou
Sijui kwanini tuliuza blind.
MAN U walikuwa wanaongoza Moja, PSG wamesawazisha.Ngap ngap?
Ngumu hiyo mkuu