Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Katika mashabiki wa timu zote EPL, Arsenal wanahasira na masikitiko sana. Chelsea wao wamejaa wasiwasi na shauku ya kupoteza game lao. Wote walikuwa wanaombea MUFC tupoteze. Dua zao hazijasikiwa.
 
Leo matokeo yametoka kama nilivyotarajia Spurs na Arsenal wadraw na ss tushinde,pamoja na kwamba ushindi ulikuwa wakibabe

sana yaani tumeforce king pale...Hawa madogo wakina Mctominay wanajitahidi ila kiuwezo bado sana ndo yale niliyokuwa nasema

tunahitaji kufanya usajili wamaana summer, kiungo leo kilipwaya sana ila nilijua maana Saints miaka yote wapo vizuri sana pale kati

toka kipindi cha kina Wanyama walikuwa wanatusumbua Midfield,sema cha msingi tumechukua point 3..
 
Kwenye press conference ya Pep jana amesema city inahitaji wachezaji 4 au 3 ukiangalua form yao na uwezo wao sijui sisi tutafanya nini tusiposajili

Sent using Jamii Forums mobile app
Wamiliki wa city, hawaitumi timu kama chanzo cha mapato.
Huku kwetu glazzers wanatumia timu kulipa madeni.

Sent using simu mbovu
 
Lukaku ana weakness moja inayonifanya nisimuone kama anafaa, ni kukosa control na kupoteza mipira kizembe.
Sawa mkuu ni kweli hana control kama Morata

Lakini vitu vingine vyote amemzidi Morata

Kitu cha kutambua wachezaji huwa hawafanani mkuu

Hivi mfano kati ya Beckham na Quaresma au Kleberson unamkubali nani? Hao jamaa wawili walikuwa ni machachari, lakini Beckham japo hakuwa na anao anao lakini alikuwa ni hatari

Ni muhimu kutambua kila mchezaji ana strengths na weakness zake, Lukaku hana control kubwa sana (ila control anayo) lakini ana utilize strengths zake nyingine

Kuna siku nilisema tatizo Lukaku is not likable player ....... Hicho tu ndio kinamponza, yaani sometime watu wanamlaumu kwenye jambo hadi nabaki nacheka tu



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu huwa ni wabinafsi sana, mmojawapo ni Pogba

Angekuwa muungwana angempa Lukaku ajaribu kupata hat trick

Sisemi hivi kwa kuwa amekosa penalty (kwa sababu kukosa sometime kunatokea), ila nimesema hapa kijiweni ninapoangalia mpira kabla hajapiga penalty

Anyway ndivyo alivyo, na ni mchezaji wetu muhimu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa upigaji huu aache kupiga penalti, kuna wakati atatuingiza kwenye matatizo, mimi huwa naona penalti zake hazina uhakika sana
 
Nashangaa ni kwanini hakumuachia mwenzake aondoke na mpira.

Pogba sio mpigaji mzuri wa penalty,sijui ni kwanini kocha kampa hayo majukumu. MUFC wapigaji wazuri wa penalty ni Mata na Herrera, haya young pia na Martial wanamzidi pogba. Tatizo ni masifa mengi.
Hayo majukumu kapewa toka Mou yupo.


Nazani kila mtu anapewa hilo jukumu kutokana na performance ya kupiga penalty mazoezini

Sent using simu mbovu
 
IMG_8277.JPG


Big Rome interview on MUTV
 
kwanza muelewe Pogba ndo mpiga penati wa timu yetu na kila timu ina mpigaji wake.

katika msimu huu Pogba amekosa penati mbili tu kati ya penati zote alizopiga na hazikuwa za ushindi kwamba eti akikosa hiyo penati timu itakuwa imepoteza mechi.

style ile ya upigaji ndo style yake hata akipataga huwa anapiga kwa style ile ya kukimbia hatua ndogondogo.

hakuna anaejua kama Lukaku angepata ile penati maana hata yeye ameshakosa penati akiwa na United under Mou, ila ki-fair play Pogba alipaswa ampe Lukaku huenda ingekuwa hat trick ya kwanza tangu RVP afanye hivyo msimu wa 2013 against Olimpiacos under Moyes.

OLE
MUFC
GGMU
 
Back
Top Bottom