ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
United wakitaka kushinda hiyo Game Ashley Cole na Valencia wawe kwenye top sana ya game yao hapo ndio utaona Chelsea watavyoumia.
ashley cole au young nani mnamuongelea..
United wakitaka kushinda hiyo Game Ashley Cole na Valencia wawe kwenye top sana ya game yao hapo ndio utaona Chelsea watavyoumia.
Timu imecheza vizuri. Ila kipindi cha pili SAF inabidi aingize mtu pale kati ili aongoze spidi ya mashambulizi.
Hawa wetu.
United wakitaka kushinda hiyo Game Ashley Cole na Valencia wawe kwenye top sana ya game yao hapo ndio utaona Chelsea watavyoumia.
Ashley Cole tena????>.................Ama ulimaanisha Ashley Young?United wakitaka kushinda hiyo Game Ashley Cole na Valencia wawe kwenye top sana ya game yao hapo ndio utaona Chelsea watavyoumia.
Matokeo yakibaki hivi, crate ya bia halali yangu
Matokeo yakibaki hivi, crate ya bia halali yangu
Endelea kuota tu mkuu,kipindi cha pili kitaeleweka tu
Ashley Cole tena????>.................Ama ulimaanisha Ashley Young?
Bomba mkuu! Kesho inategemea kichaa cha KK kitamuelekeza kupanga timu vipi. Na jamaa ni ving'ang'anizi hasa.habari yako mkuu pred vipi kesho..
Matokeo yakibaki hivi, crate ya bia halali yangu
Wanga mmeshaanza..haya lianzie sasa mkuku🙂))