what a shock...
Mkuu magoli ya wazi haya na si penalt za kupewa....
Mbona mnakimbia jukwaaa??maana mlikuja kwa wingi sana
Wamesawazisha
Wanaokimbia jukwaa si wapenda michezo ila mashabiki, ushabiki ni ugonjwa
Yeah mkuu inabidi more pressure
Hahahahahahah lol! Mkibebwa nyinyi unafuta!!! magoli ya halali haya....lakini tukipewa penalty sisi basi kosa!!!! Hongera Mkuu 3-3...Rooney au Giggs atafunga la ushindi 🙂🙂
What a shock ulikuwa unajuwa ni Arsenal hao??