Kwa hiyo sisi tulikuwa wazuri kuwazidi au nyie mlikuwa wabaya kuliko sisi?Wewe mlitufunga tu kwa sababu tuko vibaya kwa sasa..
Sio kwa mbinu za Ole..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo sisi tulikuwa wazuri kuwazidi au nyie mlikuwa wabaya kuliko sisi?Wewe mlitufunga tu kwa sababu tuko vibaya kwa sasa..
Sio kwa mbinu za Ole..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi andika hata jina lake... Achana nae huyoAma kweli uchawi Upo.
MTU hajapoteza mechi hata moja ya EPL unasema humkubali !!!
Eeeeh mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mlitufunga tu kwa sababu tuko vibaya kwa sasa..
Sio kwa mbinu za Ole..
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamtaka Tony Pulis halafu unataka attack attack attack ?wale wana mbinu mkuu, huyu OGS hana mbinu ana hamasa tu. Tatizo la michezo ya hamasa huwa kuna muda inakata mnaanza kutafuta mchawi. OGS na zinade hakuna kitu, bora ata claud puel
Akikujibu nitag mkuuHuyo jamaa anasemaje OGS hana mbinu wakati kaona kabisa utofauti wa kipindi cha 1 na kipindi cha pili. Mane, salah wote waliwekwa mfukoni, big chances zote tumezitengeneza sisi. Tulishikwa first half kwa sababu wachezaji muhim waliumia, iv wew haujui kwamba herera ndio injin ya ukabaji na kuanzisha mashambulizi? Haujui pia kwamba tulimkosa matic leo? Lakin pia hebu litizame benchi letu ambavyo lilikuwa na wachezaji wengi ambao hawako kwenye kiwango bora. Lakin pia baada ya half time je haukuona tulivyocheza kwa ufundi kiasi cha kui ua midfield ya liver?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu leo umeongea point ya maana sanaDah kajitahidi sana kuibadili man United ..saiv pogba yuko huru anateleza tu ..timu imekuwa na hari ya ushindani sana. Japo ni mapema kusema apewe timu, pengine ni upepo tu unamwendea vizuri..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee ndio wamebaki kuishabikia hiyo timuHahahaha ndani ya miaka kumi Liverpool wanakombe moja tu..
Ulizia kombe gani sasa ...hahahaha
CARABAO..
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba CV ya Pulis tafadhaliliva wepesi wale, Tony pulis angewalamba hata 4 wale...... Ole ni mhamasishaji tu, yani pake man u ye ni kama MC wa shughuli![]()
Kila siku mnamuongezea vipimo tukipimo cha Ole ni Manchester derby…
Ndio nakushangaa wewe unayeongoza ligi baada kupata points 4 kwa United
Ingekuwa mourinho kwenye press ingekua ni kuhusu majeruhi wa ile mechi tu..very true bro,, na zile injuries ndo zinampa marks kwamba anaweza kumudu mechi hata kama kikosi kikiwa kinashida,, angekua mourinho game kama ya jana angepaki basi kama loote afu liverpool wangekua wanashambulia tu ila jana hata liver walikua wanaogopa kupanda mbele mostly sec half ,,,angekua mou tungepigwa hata tano jana.
Fred inabidi acheze mbele kidogo..nafasi ya matic haiwezi kuwa replaced na Fred navyoona mimi..ni either Mc tominay acheze hiyo position,japo sio level hizo tunazozitaka lakini anautulivu fulani..Nimesikia Matic atakuwa nje kwa week kadhaa kwahyo madogo inabdi waendelee kuokoa jahazi pale kati..Fred sijui ataanza kupewa nafasi lini
Fred inabidi acheze mbele kidogo..nafasi ya matic haiwezi kuwa replaced na Fred navyoona mimi..ni either Mc tominay acheze hiyo position,japo sio level hizo tunazozitaka lakini anautulivu fulani..