Manchester United (Red Devils) | Special Thread

man u yetu bado sana. tukipata kocha kama warnoc yule jamaa aliyefukuzwa huddlesfield atatufaa sana. Tukimkosa bora tumchukue yule Tony Pulis alikuwaga anainoa Stoke city na west brom.

Bila ivo man u itazidi kupotea. Sanchez tumpe muda.

GGMU

Sent from my iPhone using JamiiForums
I will take Claude Puel over solskjaer any time.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
man u yetu bado sana. tukipata kocha kama warnoc yule jamaa aliyefukuzwa huddlesfield atatufaa sana. Tukimkosa bora tumchukue yule Tony Pulis alikuwaga anainoa Stoke city na west brom.

Bila ivo man u itazidi kupotea. Sanchez tumpe muda.

GGMU

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu uko serious au jokes Tony Pulis na huyo wa Huddles ndio aje kuinoa United hii?

Big Noooo, mpe OGS fungu aingie sokon kwakuwa anajua utamadun wa United, anaipenda United, then fans tumsapoti.

GGMU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu uko serious au jokes Tony Pulis na huyo wa Huddles ndio aje kuinoa United hii?

Big Noooo, mpe OGS fungu aingie sokon kwakuwa anajua utamadun wa United, anaipenda United, then fans tumsapoti.

GGMU.

Sent using Jamii Forums mobile app

wale wana mbinu mkuu, huyu OGS hana mbinu ana hamasa tu. Tatizo la michezo ya hamasa huwa kuna muda inakata mnaanza kutafuta mchawi. OGS na zinade hakuna kitu, bora ata claud puel
 
Ila watu mko wabishi mpaka kero!!Alimradi tu kuonekana hamkubaliani na wengine. Hamasa nayo ni moja ya mbimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wale wana mbinu mkuu, huyu OGS hana mbinu ana hamasa tu. Tatizo la michezo ya hamasa huwa kuna muda inakata mnaanza kutafuta mchawi. OGS na zinade hakuna kitu, bora ata claud puel
Wabongo sisi tatizo ujuaji mwingi, angekuwa hana mbinu leo Liverpool wangeondoka na magoli sio chini ya matatu.

Angekuwa hana mbinu tusingembomoa Chelsea.
Halafu kocha hayupo peke yake, ni bench zima ndio linafanya kazi.
 
Back
Top Bottom