Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu uko serious au jokes Tony Pulis na huyo wa Huddles ndio aje kuinoa United hii?

Big Noooo, mpe OGS fungu aingie sokon kwakuwa anajua utamadun wa United, anaipenda United, then fans tumsapoti.

GGMU.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo OGS hana mbinu, labda tumpe expisure kidg kwanza. Yani kitu kidgo tu hawez fanya maamuzi mpaka aulize kila kitu, sa zingine anamtext furgesson “nimwingize nani?”.
 
OGS hana mbinu? Mbinu gani unazitaka pale OT.
Anachofanya OGS ni kufuata style za babu.
Anacholack ni uzoef wa ku manage timu kubwa.

Huwez recommend makocha wanaotoka kwenye vitim mbav mbili waje wamanage united. United club kubwa bwana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
basi wote wabovu, aingie Tony pulis na benchi lake lile....... fundi sana jamaa yule. Watu kama lukaku hawapaswi kuwa OT
Kikos cha utd kilikosa hamasa tu ukitaka kuamini angalia wakat wa Maurinho.Mafundi wapo hawahitaji kufundishwa zaidi ya kupewa sababu ya kufa kwaajili ya club

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikos cha utd kilikosa hamasa tu ukitaka kuamini angalia wakat Mau.Mafundi wapo hawahitaji kufundishwa zaidi ya kupewa sababu ya kufa kwaajili ya club

Sent using Jamii Forums mobile app

Pale kikosini hatuna beki, kiungo yupo pogba tu, mbele yupo rashford tu, golini hakun tatizo. Wengine woote hawapati namba everton. Kama unabisha mwulize Tom Cleverly yule midfielder maestro wetu wa 1st eleven tuliyeuza
 
OGS hana mbinu? Mbinu gani unazitaka pale OT.
Anachofanya OGS ni kufuata style za babu.
Anacholack ni uzoef wa ku manage timu kubwa.

Huwez recommend makocha wanaotoka kwenye vitim mbav mbili waje wamanage united. United club kubwa bwana.

Sent using Jamii Forums mobile app

kwani oke katika madrid? Oke mi simkubali, tupatiwe koch mwny uwezo wa kuwatrain wachezaji
 
Kama umkubali ww powa.. lakin asilimia kubwa ya mashabiki wanamkubali. Ameibadilisha united.. kutoka man u ya mou to man u inayotarajia ushindi kila mechi.
Yes huenda kuwa hajatoka kwenye timu kubwa. Lakin inahitajika kocha mwenye kuujua utamaduni wa united.
Na hapa ndipo ole amewaid walipita. Kilikuwa ni kitu rahis tu. Ukile ta kocha wa mfumo mwingine ataanza kubadilisha mifumo.. tutarudi nyuma tena kama zamani kuanza ku struggle na mifumo mipya.
Wamekuja makocha wangapi wapya kutoka timu zingine na wameunguza...? Tena kutoka tim kubwa kubwa..
Ww unakuja ku recommend makocha wa tim za mwisho huko. Hadhi haijashuka kias hiko mkuu

Baadhi ya comment apo ni valid, lkn nina wasiwasi na uwezo wa Ole, naona kama ni mhamasishaji zaidi lkn kimbinu hakuna kitu........wacha tumpe muda
 
Back
Top Bottom