Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Cleverly zilipendwa. Man u imechange sio kama zamani. Kikosi beki wanahitajika wawili. Viungo wawili. Kule mbele. Tupa lukaku.. afukuzwe kabisa hajui lolote.
Anunuliwe namba 9 natural. Na winga wa kulia. Basi
Pale kikosini hatuna beki, kiungo yupo pogba tu, mbele yupo rashford tu, golini hakun tatizo. Wengine woote hawapati namba everton. Kama unabisha mwulize Tom Cleverly yule midfielder maestro wetu wa 1st eleven tuliyeuza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Who the fu.ck is this Tony Pulis??..

Na kwa taarifa yako tu,Ole anapewa mkataba mrefu..

Mweshimuni Ole

Hamna kitu huyo anakwambia fred angeingia tusingepata droo wakat fred hutumika kama kiungo mkabaji kama andreas pereira
 
kipimo cha Ole ni Manchester derby…

Hahahaha mwisho wa siku mtasema kipimo ni mwezi wa 6

Kapita na

Spurs
Arsenal
Chelsea
Liverpool

Hamna kocha atakaefunga timu zote lazima kuna suluhu ktk big game na kupigwa

Had muda huu ole ole ole ole ole kafanya poa timu kapewa mwez wa 12 ana miez miwili tu kawakuta hao wanazijua timu zao vizur tu
 
Hahahaha mwisho wa siku mtasema kipimo ni mwezi wa 6

Kapita na

Spurs
Arsenal
Chelsea
Liverpool

Hamna kocha atakaefunga timu zote lazima kuna suluhu ktk big game na kupigwa

Had muda huu ole ole ole ole ole kafanya poa timu kapewa mwez wa 12 ana miez miwili tu kawakuta hao wanazijua timu zao vizur tu
Waswahili wanapenda future judgement

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbuminu ni kumtumia fred na kupata matokeo, sio kutumia madogo kupata draw.

Na ukitaka kumtumia fred maana yake pogba akae nje jambo ambalo ni gumu mechi ya psg fred atacheza sehem ya pogba maana pogba hatokuwepo fred atacheza ktk kiungo cha ushambuliaji sio cha ukabaji anahangaika sana akichezeshwa pa herrera OGS kagundua hilo ndo mana alimwambia fred yupo kwenye mipango yake anajua wap atamtumia

Kwa sasa huwezi kuibomoa combination ya herrera pogba na matic fred lazima achome mahindi tu
 
Matokeo ya leo ni mazuri kwetu kutokana na situation (Majeruhi) na uzito wa mechi yenyewe hasa kwa liverpool wanaofukuzia ubingwa, leo tumechezesha watoto dhidi ya wapinzani wetu wakubwa na wenye kikosi kizuri lakin bado tumefanikiwa kuwa out-perform, coz kama nafasi sisi tumetengeneza nyingi zaidi yao na tulifanikiwa kuwazuia wameishia kupiga shuti moja tu on target mechi nzima!

Yaani De gea leo tungemuacha apumzike home tu..ningekuwa mshabiki wa Liverpool ningekuwa disappointed sana aisee, maana ni kama dharau,Salah na Mane hawajafanya chochote cha maana..sema kuna vitu vya kujifunza kwenye mechi hii.


1.Tunahitaji kufanya usajili wa maana coz tuko nyuma sana interms of player quality hasa kiungo hawa madogo pamoja na kujitahidi leo bado sio top quality inayohitajika pale OT kushindana na Top teams za Ulaya.

2.Tuna beki nzuri tu sema labda tuongeze jembe moja la maana (Koulibaly) na namba 3 mwingine kama Shaw akiumia.

3.Liverpool hana ubavu wa kubeba PL akichukua ni labda CITY afanye uzembe tu ila liverfools hawana chao pale.

4. Shaw leo kacheza vizuri sana mpka mwarabu ameonekana mchezaji wakawaida kabsa, kwa ufupi Shaw ndo man of the match.

5. Ole leo kadhihirisha kwamba uwezo wa kuimudu hii timu anao coz mechi ya leo ndo ilikuwa na changamoto kubwa kuliko hizo nyingine zote alizo ongoza timu,hvyo nahisi mpka sahiv tuanze kuamini kuwa atapewa timu mazima!
very true bro,, na zile injuries ndo zinampa marks kwamba anaweza kumudu mechi hata kama kikosi kikiwa kinashida,, angekua mourinho game kama ya jana angepaki basi kama loote afu liverpool wangekua wanashambulia tu ila jana hata liver walikua wanaogopa kupanda mbele mostly sec half ,,,angekua mou tungepigwa hata tano jana.
 
Nimesikia Matic atakuwa nje kwa week kadhaa kwahyo madogo inabdi waendelee kuokoa jahazi pale kati..Fred sijui ataanza kupewa nafasi lini
 
Me hi hii tungeshinda asee...... Wale liva wepesi tu, mwalimu wetu alikosa mbinu. Tafuta mtu kama Tony Pulis pake atujengee timu ya nguvu

Tony Pulis na wenzake hao unaowataka nimakocha wa timu ndogo ambazo malengo yake ni kuwa mid table tu sio kushinda ubingwa,Tony Pulis mbinu zake hazitofautiani sana na Mourinho na ni mzuri kwenye kuzuia timu zisishuke dalaja ila tactic za ushambuliaji ni zero!
 
Back
Top Bottom