sure kaka,,,excuses zingekua nyingi.Ingekuwa mourinho kwenye press ingekua ni kuhusu majeruhi wa ile mechi tu..
sure kaka,,,excuses zingekua nyingi.Ingekuwa mourinho kwenye press ingekua ni kuhusu majeruhi wa ile mechi tu..
Usajili huu ulinishangaza sana sikuamini kama Ji Sung Park atafaa United
Arsenal wamepata shida sana na haka kajamaa
View attachment 1031664View attachment 1031665View attachment 1031666
Leo ni birthday yake by the way...Usajili huu ulinishangaza sana sikuamini kama Ji Sung Park atafaa United
Arsenal wamepata shida sana na haka kajamaa
View attachment 1031664View attachment 1031665View attachment 1031666
Watu wakatili Tumewamis sana UnitedUsajili huu ulinishangaza sana sikuamini kama Ji Sung Park atafaa United
Arsenal wamepata shida sana na haka kajamaa
View attachment 1031664View attachment 1031665View attachment 1031666
Mnahamisha magoli wapuuzi nyie.kipimo cha Ole ni Manchester derby…
Hata akipoteza mechi ya Derby, ameprove kuwa anaweza na benchi zima la ufundi wapo vizuriMnahamisha magoli wapuuzi nyie.
Mlianza kwa Arsenal, Tottenham, Liverpool.
Sent using Jamii Forums mobile app
Perreira na Tominay wanaweza kureplace Matic na HereraSure Fred n.o 6 sio nafasi yake, yeye ni n.o 8 sema naona inapaswa aanze kupewa nafasi kucheza, tumetoa mpunga mrefu sana pale sio aje akae benchi, maana Hererra nae majeruhi, na mechi zinazokuja hatupaswi kupoteza point kizembe!
uchafu ni kitu chochote kile kikiwekwa au kikikaaa sehemu ambapo si mahala pake,
humu ndani ni kwaajili ya mashabiki wa MAN UTD tu hao wengine wanaleta uchafu
tuu si mahala pao,,😛😛😛😛
Ingekuwa mourinho kwenye press ingekua ni kuhusu majeruhi wa ile mechi tu..
Kweli mkuu kama hana uwezo apewe nafasi tuone akichemka co vile vitoto....vikikutana na shughuli kama ya psg vinapoteanaNadhani hujanielewa vizuri mkuu, Fred amenunuliwa kwa Pound Million 50 na anakula mshahara mrefu sana pale sasa kama hapati n.o wakati tunamajeruhi midfield atapata namba lini? na kulikuwa na maana gani kumnunua kama hapewi nafasi ya kucheza?
Muhamasishaji kama kocha wa Yanga?nipo serious mzee wa syria, mambo ya motisha haya yanaishaga. Tupate mkufunzi na mwalimu sio mhamasishaji
Hahahaha ndani ya miaka kumi Liverpool wanakombe moja tu..
Ulizia kombe gani sasa ...hahahaha
CARABAO..
Sent using Jamii Forums mobile app





