Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,747
- 9,012
Kwamba hatukubeba?? tunazo 7 hizoNafikiri mlikua hamshiriki enzi hizo au labda mlikatazwa msichukue nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamasa ashinde mechi zote hizo?wale wana mbinu mkuu, huyu OGS hana mbinu ana hamasa tu. Tatizo la michezo ya hamasa huwa kuna muda inakata mnaanza kutafuta mchawi. OGS na zinade hakuna kitu, bora ata claud puel
Watu wanaongea ili waonekane nao wanaongea.Huyo jamaa anasemaje OGS hana mbinu wakati kaona kabisa utofauti wa kipindi cha 1 na kipindi cha pili. Mane, salah wote waliwekwa mfukoni, big chances zote tumezitengeneza sisi. Tulishikwa first half kwa sababu wachezaji muhim waliumia, iv wew haujui kwamba herera ndio injin ya ukabaji na kuanzisha mashambulizi? Haujui pia kwamba tulimkosa matic leo? Lakin pia hebu litizame benchi letu ambavyo lilikuwa na wachezaji wengi ambao hawako kwenye kiwango bora. Lakin pia baada ya half time je haukuona tulivyocheza kwa ufundi kiasi cha kui ua midfield ya liver?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kombe umekosa tena.Dah kajitahidi sana kuibadili man United ..saiv pogba yuko huru anateleza tu ..timu imekuwa na hari ya ushindani sana. Japo ni mapema kusema apewe timu, pengine ni upepo tu unamwendea vizuri..
Sent using Jamii Forums mobile app
Asingekuwa na mbinu hii mechi asingepata hata droo.wale wana mbinu mkuu, huyu OGS hana mbinu ana hamasa tu. Tatizo la michezo ya hamasa huwa kuna muda inakata mnaanza kutafuta mchawi. OGS na zinade hakuna kitu, bora ata claud puel
Duuuuhman u yetu bado sana. tukipata kocha kama warnoc yule jamaa aliyefukuzwa huddlesfield atatufaa sana. Tukimkosa bora tumchukue yule Tony Pulis alikuwaga anainoa Stoke city na west brom.
Bila ivo man u itazidi kupotea. Sanchez tumpe muda.
GGMU
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama hana mbinu, game ya jana vijana wangeingia kati si chini ya mara 5! Sometimes tumia common sense na kuweka ushabiki maandazi pembeni. Ole so far kajitahidi sana kuirebuild united regardless ya ufinyu wa kikosi alionao! Sasa wewe unakuja kupigia version nyingine ya moyes hapa.wale wana mbinu mkuu, huyu OGS hana mbinu ana hamasa tu. Tatizo la michezo ya hamasa huwa kuna muda inakata mnaanza kutafuta mchawi. OGS na zinade hakuna kitu, bora ata claud puel
Nae ajisikie ameandika ilimradi tu.Wabongo sisi tatizo ujuaji mwingi, angekuwa hana mbinu leo Liverpool wangeondoka na magoli sio chini ya matatu.
Angekuwa hana mbinu tusingembomoa Chelsea.
Halafu kocha hayupo peke yake, ni bench zima ndio linafanya kazi.
Always he succeed on hugsHamasa ashinde mechi zote hizo?
Mwenye mbinu ni nani? Klopp? Pochetino? Sari? Unai?
OGS atachukua Kombe msimu ujao, Klopp ataishia kukumbatia wachezaji tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
wale wana mbinu mkuu, huyu OGS hana mbinu ana hamasa tu. Tatizo la michezo ya hamasa huwa kuna muda inakata mnaanza kutafuta mchawi. OGS na zinade hakuna kitu, bora ata claud puel
Hana mbinu? De gea alidaka mipira ya hatar mingap na kiungo chetu cha academy? ukiacha kocha wa arsenal wengine wote waoga kutoa nafasi kwa madogo aneo la kiungo tena ktk mech kubwa huwezi kumuacha fred bench ukampa nafasi pereira halafu useme kocha hana mbinu
Kama hana mbinu, game ya jana vijana wangeingia kati si chini ya mara 5! Sometimes tumia common sense na kuweka ushabiki maandazi pembeni. Ole so far kajitahidi sana kuirebuild united regardless ya ufinyu wa kikosi alionao! Sasa wewe unakuja kupigia version nyingine ya moyes hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asingekuwa na mbinu hii mechi asingepata hata droo.
Hamasa ashinde mechi zote hizo?
Mwenye mbinu ni nani? Klopp? Pochetino? Sari? Unai?
OGS atachukua Kombe msimu ujao, Klopp ataishia kukumbatia wachezaji tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwako mbinu ni nini mkuu? Hivi ulitizama whole 90+?ni kwli OGS kaweka motisha kubwa, kimbinu hamna kitu pale. Tatizo motisha huwa nayo inaishaga
Wabongo sisi tatizo ujuaji mwingi, angekuwa hana mbinu leo Liverpool wangeondoka na magoli sio chini ya matatu.
Angekuwa hana mbinu tusingembomoa Chelsea.
Halafu kocha hayupo peke yake, ni bench zima ndio linafanya kazi.
