Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

man u yetu bado sana. tukipata kocha kama warnoc yule jamaa aliyefukuzwa huddlesfield atatufaa sana. Tukimkosa bora tumchukue yule Tony Pulis alikuwaga anainoa Stoke city na west brom.

Bila ivo man u itazidi kupotea. Sanchez tumpe muda.

GGMU

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mawazo ya mtu hayapingwi....ila ww unaonekana kama Mamluki hivi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Scott McTominay covered more distance (11.79km) than any other Man Utd player vs. Liverpool.

Huge effort.

IMG_0270.JPG
 
Kila jambo lina faida yake na hasara yake

Balaa la majeruhi ni BALAA, japo linaweza kuwa fursa kwa kwa chama letu pendwa, MANCHESTER UNITED.

Kumbukumbu inaonesha Rashford alipata nafasi baada ya Martial kuumia muda mfupi kabla ya mechi ya Midjland katika mashindano ya Europa League.

Huwezi jua. Pengine huu ni muda Garner, Chong na Gomes kuingia katika ulimwengu wa ma superstar na sio prospects/talents tena

Huwezi jua, pengine huu ndio wakati wa kumuibua Sanchez aliyejificha ndani tangu ahamie United.

Let's wait and see

This is what we call positivity

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesho naiona 4-4-2 formation..

Sanchez na Lukaku mbele.

Namuona Fred,Pereira,Scot mctominay na Pogba kwny midfield..

Nyuma hapanipi wasiwasi cuz wote ni wazima.

Pia naona changes ya formation Ktk kipindi ambapo tahiti na gomes wanaweza kuingia kucheza kwny wings..
GGMU GGMU

Sent using Jamii Forums mobile app
Fred sijui anakwama wapi,tatizo lake anataka kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja.
 
Kila jambo lina faida yake na hasara yake

Balaa la majeruhi ni BALAA, japo linaweza kuwa fursa kwa kwa chama letu pendwa, MANCHESTER UNITED.

Kumbukumbu inaonesha Rashford alipata nafasi baada ya Martial kuumia muda mfupi kabla ya mechi ya Midjland katika mashindano ya Europa League.

Huwezi jua. Pengine huu ni muda Garner, Chong na Gomes kuingia katika ulimwengu wa ma superstar na sio prospects/talents tena

Huwezi jua, pengine huu ndio wakati wa kumuibua Sanchez aliyejificha ndani tangu ahamie United.

Let's wait and see

This is what we call positivity

Sent using Jamii Forums mobile app
very true bro dogo gomes namuelewa balaaa,, nahisi huu ndio muda wao kukutana na changamoto kubwa ili wakue na waive
 
Herrera, Lingard, Mata,Matic,Jones,Martial,Valencia na Darmian wote majeruhi, Rashford 50/50
 
Back
Top Bottom