Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,992
Game ilikuwa nzuri sana, wachezaji wote wamecheza vizuri, kazi kazi kila mchezaji alibeba msalaba wake... Wachezaji wamepewa uhuru wa kufanya wanachotaka, lakini mpira ukipotea kwenye himaya yetu, wote wanakaba mpaka kivuli. Nimekuwa nikiwaza ilikuaje PSG wakatufunga kwa mpira ule, anyways hii ndio Man United. Wachezaji wako radhi kufia uwanjani kweli wanajituma sana halafu sijui kwa nini Herrara hapewi mkataba mpya, huyu jamaa ananikosha sana ni mpambanaji asiyechoka.
