Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahahaha unafungwa na timu ambayo haijakamilika wakati wewe umekamilika kila kitu..

Wewe huna mpira wa kuifunga Chelsea kama PSG umemshindwa.

Nyumbani anakutandika mbili nunge..

Man city dawa yao wataipata tarehe 25..

Cc.@Ollachuga Oc

Kama ambavyo ulikimbia baada ya kufungwa 6 afu ukarudi baada ya sisi kufungwa na PSG, basi karibu leo kutupa hongera zetu

Kwa nini uteseke????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaongea kishabiki maandazi sana.acha tukukaushie tu

Back
Top Bottom