nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 6,479
- 11,169
hua namsumbua sana
hua namsumbua sana
Mbona mkuu sisi hayo mashindano sio kipaumbele.
Nasema hata Martial awe kwenye kiwango kibovu ni bora akaanza anaweza kufanya kitu kuliko Sanchez jamaa ni ameisha tuache utani. Na timu sio mbaya kihivyo jamaa ni wazoefu first half game ilikua poa tu second ndo tulipotea kidogo.
Kuuza watu zaidi ya sita pale haikwepeki kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chalii ulipotea kabisa tangia zile Tatu pale emirate

Ndio uzuri wa ushabiki hasa wa mpira, tukishinda, kombe letu mwaka huu, mkifungwa, hayo mashindano sio kipaumbele. Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa kipaumbele yenu ni ushiriki na ndio maana mnapigania tu top four? Hata kwa kujirudia rudia hizo statement utazisikia tu. Kesho mkishindwa top four, mtasema top four haikuwa kipaumbele chetu mwaka huu. Haya banaMbona mkuu sisi hayo mashindano sio kipaumbele.
Sent using simu mbovu
Mbona hiyo ni kawaida mkuu ni uhalisia tuu na wala sio ushabiki.Ndio uzuri wa ushabiki hasa wa mpira, tukishinda, kombe letu mwaka huu, mkifungwa, hayo mashindano sio kipaumbele. Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa kipaumbele yenu ni ushiriki na ndio maana mnapigania tu top four? Hata kwa kujirudia rudia hizo statement utazisikia tu. Kesho mkishindwa top four, mtasema top four haikuwa kipaumbele chetu mwaka huu. Haya bana
Haa haa haa nicheke kwa sababu timu kubwa kama MU haina priority ya EPL wala UEFA sasa priority iko wapi karabao?, FA? .au ushiriki ndio lengo. na akina sanchez analipwa merely mshahara sawa na Ronaldo wa Juve na Messi wa Barca. Hadithi ya Sungura mjanja iko kila kona. Bora hata ligi ni kubwa na ndefu, mashindano mafupi kama UEFA na bado mnasema haikuwa priority, kweli. Tukubali tu haya ni maneno ya mashabiki baada ya kipigo ili kujifariji, usijali kote ni hivyo hata Chelsea tukifungwa leo tutasema Europa sio priority yetu vinginevyo tutaumia sanaMbona hiyo ni kawaida mkuu ni uhalisia tuu na wala sio ushabiki.
Toka MOU yupo na hata sasa inaonekana tuu Man U kuchukua champion's league sio priority(au niseme haiko kwenye group la timu zinazotazamiwa kuchukua).
Ni vile tuko kwenye mashindano we fight kwa sababu lolote linaweza kutokea.
Kuna teams Kuchukua UEFA ni moja ya priorities zake , team kama juventus, barca,PSG, Man city nk na ndio maana unaona wanachukua wachezaji kuendana na malengo hayo.
Sent using simu mbovu
Kama Europe hutegemei kushinda na sio kipaumbele chenu, uzeni timu na chukueni viti vya uwanja mkatumie barHaa haa haa nicheke kwa sababu timu kubwa kama MU haina priority ya EPL wala UEFA sasa priority iko wapi karabao?, FA? .au ushiriki ndio lengo. na akina sanchez analipwa merely mshahara sawa na Ronaldo wa Juve na Messi wa Barca. Hadithi ya Sungura mjanja iko kila kona. Bora hata ligi ni kubwa na ndefu, mashindano mafupi kama UEFA na bado mnasema haikuwa priority, kweli. Tukubali tu haya ni maneno ya mashabiki baada ya kipigo ili kujifariji, usijali kote ni hivyo hata Chelsea tukifungwa leo tutasema Europa sio priority yetu vinginevyo tutaumia sana
Unataka kuniambia wewe unaamin Man U ni favorite kuwin UEFA 2018/2019?Haa haa haa nicheke kwa sababu timu kubwa kama MU haina priority ya EPL wala UEFA sasa priority iko wapi karabao?, FA? .au ushiriki ndio lengo. na akina sanchez analipwa merely mshahara sawa na Ronaldo wa Juve na Messi wa Barca. Hadithi ya Sungura mjanja iko kila kona. Bora hata ligi ni kubwa na ndefu, mashindano mafupi kama UEFA na bado mnasema haikuwa priority, kweli. Tukubali tu haya ni maneno ya mashabiki baada ya kipigo ili kujifariji, usijali kote ni hivyo hata Chelsea tukifungwa leo tutasema Europa sio priority yetu vinginevyo tutaumia sana
Hapa Arsene Wenger alicheza kama Pele..Hivi kweli mliuziwa sanchez au kopi ya sanchez?View attachment 1021989
Sent using Jamii Forums mobile app