Disappointing UCL night
Kama OGS alivyosema, game ya jana ni REALITY CHECK. Imetupa fursa ya kujua timu yetu kiuwezo ipo wapi tunapokutana na wakubwa wenzetu.
Kumfunga Arsenal au Chelsea kunatupotosha kuufahamu uwezo wetu halisi
Hizi mechi pia ni reality check kwa OGS, kuona kama kocha anaweza kutufikisha wapi
Ukweli ni kwamba Ed alipoamua kutosajili January nilijua kuwa kwa mwaka huu hatuna mpango wa kufika mbali kwenye hii michuano ya UCL
Alexis anazidi ku prove kwamba yupo kwenye wrong club au United ilisajili wrong player. Jambo chungu kuhusu ndoa ya United na Alexis ni kwamba ni ngumu sana kutenganishwa. Ni timu gani inayoweza kumsajili Sanchezi na kumlipa £475K kwa wiki? TUENDELEE KUVUMILIANA SISI NA ALEXIS WETU.
Back to the core. Jose had a point, mashabiki pia tumekuwa sahihi, we have to spend on players. We have to remove passengers players.
Mechi ya jana Wachezaji waliofanya jambo/mambo linalokumbukika
Matic (Outstanding)
Herera (Average)
Pogba (Good)
Lingard (Good)
Degea (Good)
Waliokuwa na bad game Rash na Martial,
Bado naamini Lukaku ni muhimu kwenye timu yetu, kumuamini Rash kuongoza timu ni too risk
Kuelekea game ijayo (second leg)
Kuwa nyuma kwa goli 2 ugenini kumetuweka pagumu mno
Pogba kutocheza, haitatusaidia kabisa
But in champion League anything can happen
When its Manchester United, anything can happen
Coments za wasiojua mpira
Hawaelewi kuwa mpira ni dynamic sana. Wanasema angekuwepo Neymar au Cavani mambo kwa United yangekuwa magumu sana
U never know. Mfano jana PSG wamecheza direct football sana, na mpira wa direct ndio unamuwezesha Mbape ku shine.
Pengine. Narudia tena, PENGINE angekuwepo Neymar na mbwembwe zake angechelewesha mashambulizi na matokeo yasingekuwa vile.
Kwa sasa inatosha
Sent using
Jamii Forums mobile app