one by one
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 5,835
- 9,310
hakuna ulazima wa mtu kuangalia EPL kama anaona league mbovu ziko Ligue 1, La liga mpaka Bundesliga sisi EPL ni league kivyake na CL ni mashindano mengine. Leo PSG akichukuwa ubingwa CL haitafanya France league kuwa bora ila team boraMkuu mbona unajisahaulisha makusudi!!
Mechi ya kwanza mlishinda 3-2 mechi ya marudiano mlifungwa 2-1, aggregate 4-4 kama ingekua mtoano ungetoka.
Hata tukiongea maneno yakaisha haiondoi ukweli kuwa EPL ni over rated wachezaji wengi ni below average.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha Kilian MbappeeeeeeeeeeMbona nyie mmempa timu mama watoto wa Diamond?
Hahahaha Mbappe kanirudisha kwenye reli..Mkuu si ndio umefufuka leo?
hahahaha wewe jamaa kanjanja sana.... Unapayuka tu bila kujua unaongea nini, sasa Chelsea anakikosi gani cha kumaliza top four? au cha kina jorginho?Nyie man united mna matatizo!
Uko top four mnapapigania wakati hamna kikosi hata kucheza ligi za mshangani..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha eti ole guna soksi-iliyojaa hahaha mkuu acha kuharibu jina la mmasai wa watu. Mamorani wako apa watakuamshia...shot on target 1,vijana wa ole guna soksi-iliyojaa
sasa nyinyi ndugu zetu mnaweza nini asee?
aksante psg kwa kutukatia kilomo lomo cha jirani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha ndo maana mli relax...
We marked your words sir ..hahahahahaMark my words: Kesho Man U 3 PSG 0
Mikakati yako tutaona majibu yake tarehe 18Hahahah nilikuwa napanga mikakati namna ya kukapigiza haka ka timuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi ya tarehe 25 sita lazima zijirudie mkuuMsimu wa 2007/2008 nampiga city 6-0
Hivyo juzi ni kama karudisha tu.
Hata hivyo mna gemu naye final Carabao ntamla za kutosha..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongeza Lukaku, McTomminay, Young, Jones.Naiona Manchester bora ndani ya misimu miwili ijayo.... Naimani wote tumeumia na kufungwa ila ni moja ya matokeo ya soka.... tutafute director mzuri kwanza, tuuze Sanchez, Mata, Valencia, darmian tupate at least paund mil 70 Ed aongezee hapo paundi mil 300 naimani kwa paundi ml 370 mwakani tunakuwa contenders
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamkutoka mahali popote?Sasa hivi ukienda kwa fundi wa kitanda unamwambia akuchongee kitanda cha Simba kwa Chelsea hahahahahahaha.
Ni kweli kipigo cha goli sita kinauma sana lakini hatujatoka mahal popote.
Wewe uefa ndo ivo mashindano unayaaga..
Mupunguze sifa maana mulishusha hadhi ya PSG na kuona kila gemu mtashinda tu..
Kumfunga Fulham, Leicester kudraw na Barnley kuliwapa sana kakiburi.
NB: Kosa kubwa mtafanya ni kumpa timu uyo mmasai Ole..hahahahaha GGMU
Sent using Jamii Forums mobile app