OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Hèee....wew ulipotelea wapi kwaniBaada ya sisi kupigwa sita mkasahau kama mnakutana na CHEATER MBAPPE..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha wakasahau kujenga ya kwaooo..Watu walikalia majungu kwenye uzi wa chelsea wakasahau kujenga timu yao msiba ni ule ule
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka naona umefufuka au walikuteka.
Achana kipigo chetu ...hapa ni mwendo wa kupooza machunguu..Sio saa sita na dakika mbili mku?
Nilitabiri utafufuka.
Pole kwa kipigo cha paka mwizi.
hahahahahha daah bora kesho ntakula kwa amani maana toka juzi mala nakula naambiwa "nalipia mm aya na kesho mjitokeze"Watu walikalia majungu kwenye uzi wa chelsea wakasahau kujenga timu yao msiba ni ule ule
Sent using Jamii Forums mobile app
Umerudi
Ila goli sita ni dhahama mkuu.Watu walikalia majungu kwenye uzi wa chelsea wakasahau kujenga timu yao msiba ni ule ule
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa chimbo na wanangu akina Mbappe na Kimpembe tunapanga namna ya kuivuruga saikolojia ya Ole Guna.Hèee....wew ulipotelea wapi kwani
Injini yetu imepewa red sijui second hand patakuaje.Pogba red card