Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Wakala hausiki hapa.Cheap is expensive..
Lakini expensive sio guarantee
Wakala alifanya mambo ya kienyeji sana kwa hiki kindege..
RIP Sala
United Fan
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakala hausiki hapa.Cheap is expensive..
Lakini expensive sio guarantee
Wakala alifanya mambo ya kienyeji sana kwa hiki kindege..
RIP Sala
United Fan
Nani anastahili kuleta?Mimi au wewe?mi nishaleta ya kwangu mpaka muda uleIkifika saa 2 usiku lete mrejesho hapa
Kwenye ndoto labdaHata nyie vile vile mnaweza mkatupisha kwenye hiyo nafasi
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Ndio maana nikasema akikaza, aachane na upumzi kissesPumzi kisoda huyo ule msimu leicester anachukua ubingwa unaukumbuka
Sent using Jamii Forums mobile app

Ondoa hapo Martial weka Lukaku..mechi kubwa hizo zinatakiwa watu wapambanaji haswa sio watu laini laini.Game ya PSG na wish kikosi kiwe hiki:
De Gea
Young
Shaw
Bailly
Lindlof
Herera
Pogba
Matic
Mata
Rashford
Martial
Sub: Lingard, Sanchez na Lukaku
Sent using Jamii Forums mobile app
Angekuwepo Rashford leo badala yake tulikuwa tunapiga mkono hii timu laini sana.
Wewe ni mbabaishaji tu,unachukulia vitu vya msingi personalAngekuwepo Rashford leo badala yake tulikuwa tunapiga mkono hii timu laini sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
mwanangu mwenyee nko nachek hii game huyo dogo sio mtuNaangalia madrid derby huyu dogo vinicius jr ni hatari sana naona Bale atafute timu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhaah kwaiyo unataka man city ashinde?Tayari mupo Top 4 sasa muombeeni mabaya Chelsea
Kwani hawezi kushinda?
Hii ndo injini ya timu anatibua sana hata ukiangalia goli la kwanza harrera alitibua
Herrera aheshimiwe wakuu.
Kesho sio mbali
Mbona una hasira sana mkuu?Man United ikimaliza ligi Juu ya Liverpool niletee namba yako ya M-PESA au Account ya CRDB/NMB Inbox nakuahidi 3M tsh.
