Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Wewe jamaa muda mwingine uache uchawi..Lukaku hawezi kupangwa game ya PSG hata kama timu ingekuwa ya baba yakeOndoa hapo Martial weka Lukaku..mechi kubwa hizo zinatakiwa watu wapambanaji haswa sio watu laini laini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naangalia madrid derby huyu dogo vinicius jr ni hatari sana naona Bale atafute timu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu yaani Herera ni muhimili mkubwa wa timu, anajitolea kama timu ya baba yake vileKitambaa cha mkononi kinamuusu huyu bwana mdogo
-Mkimfuatilia kwa makini utaona anavyo toa maelekezo pale katikati.
Man United is Herrera
Herrera is United View attachment 1018198
Sent using Jamii Forums mobile app
Mourihno ni mtu mshenzi sana wakuu..yaani alitaka kutuambia hata top 4 kwetu kuinusa ni sawa na ardhi na mbigu..we are not there yet,lakini jamaa inabidi abebe lawama zote za kutukwamisha msimu huu at some point..
United Fan

Licha ya kuwa mchezaji wa United pia ni mshabiki mkubwa wa Man United kucheza OT ilikua ni moja ya ndoto yake kubwa.Kabisa mkuu yaani Herera ni muhimili mkubwa wa timu, anajitolea kama timu ya baba yake vile
Kitambaa cha mkononi kinamuusu huyu bwana mdogo
-Mkimfuatilia kwa makini utaona anavyo toa maelekezo pale katikati.
Man United is Herrera
Herrera is United View attachment 1018198
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ndio mchezaji pekee anayetosha kuwa nahodha,Pogba sioni kama anafaa.
Jones angefaa sema ndio hivyo haaminiki,ila huwa anazungumza sana pale nyuma.
Ila Herrera ni kiongozi kamili.
Mkuu bila shaka ni ule muhimili uliojichimbiaKabisa mkuu yaani Herera ni muhimili mkubwa wa timu, anajitolea kama timu ya baba yake vile
Kitambaa cha mkononi kinamuusu huyu bwana mdogo
-Mkimfuatilia kwa makini utaona anavyo toa maelekezo pale katikati.
Man United is Herrera
Herrera is United View attachment 1018198
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata nyie vile vile mnaweza mkatupisha kwenye hiyo nafasi
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.