Ametoa maoni yake kama Kocha/Manager wa Phil Jones.
nafahamu lakini kwa nafasi yake kama mpita njia nadhani amekwenda mbali zaidi kimatamshi, sifa alizompa bwana jones utadhani amefanya naye kazi miaka miwili kumbe ni miezi miwili, lakini kama ana uwezo wa kumbadilisha phil jones hadi kuwa mlinzi imara basi ok.
Huwezi mfananisha Valencia na Jones kwanza wanatofatutiana Umri,Pili hata nafasi wanazocheza, Centre half anaweza cheza hata akiwa mtu mzima ila kwa full beki sio kitu rahisi.
hapa nimejaribu kuzungumzia ile sababu aliyoielezea ya uzoefu wa kuitumikia klabu, tukiruhusu kila wakati uzoefu na ari ya kuipigania klabu iwe ni sehemu ya kipaombele chetu tutakuwa hatusogei, ndio maana nikatoa mfano leo hii majirani zetu wana kila dalili ya kumuondoa vicent kompany ambaye yupo pale tokea mwaka 2008.
tayari klabu imeshampa kandarasi ashley young na smalling hawa wanatosha kuisogeza mbele klabu kama ishu ni uzoefu wa kushinda mataji.
ahsante sana
Hapana sio kweli, Director of Football kazi yake inahusiana na mambo yote ya usajili katika club na Maendeleo ya Academy ya watoto, hvyo akija hyo ndo itakuwa kazi yake na sio Woodward,sababu kwanza Woodward ni Mfanyabiashara tu sio mwana michezo na ndo maana mashabiki wengi wangependa DoF aje, maana wengi wanakuwa ni watu wanaoelewa soccer na Biashara vizuri.
ed woodward ndiye CEO wa klabu ambaye kwa sasa ana deal zaidi na ishu zote za uwanjani na fedha, ujio wa DOF just ni kumpunguzia mzigo wa kazi CEO na si kumpangia cha kufanya, sina uelewa mkubwa lakini kiheshima DOF hawezi kuwa mbele ya CEO hivyo basi maamuzi yote yataishia kwa CEO na si DOF.
uzuri ni kwamba wenzetu hawafanyi kazi wakiongozwa na uswahili hivyo basi sidhani kama patatokezea mgongano kati ya CEO na DOF
labda tungoje wenye uelewa zaidi yetu watupe ufafanuzi.
.Kupewa mkataba mpya haina maana kwamba huwezi uzwa mzee
hili pia nimelieleza kwa ujumbe wangu na nikatoa mfano wa marouanne fellaini hivyo basi nipo pamoja na mawazo yako, hata mourinho alipewa mkataba mpya lakini baadae akafukuzwa
Sidhani Kama kahusika cause hiyo sio kazi yake.
tujaalie yeye ndiye kocha mkuu muda huu
kwa nini isiwe kazi yake?
huoni kama timu itakuwa inaendeshwa na akili ya mtu mmoja?