Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nimesoma comment zote za wanaojiita mashabiki wa UTD, nafurahi kwa kuwa naona wengi wameibuka kati hapa baada ya OGS kushika timu. Sasa hivi wamekaza vidole gumba vyao kuibeza Chelsea kwenye game ya leo. Hehee niseme kifupi tu kazi ipo leo siyo kinyonge kama mnavyodhani.

Tambueni mi nikidraw tu nawatoa top four nyie sijaongelea ushindi hapo. Hata nikifungwa bado nafasi ya kurudi ninayo halafu mnachojisahaulisha ni kama vile hamtokuja kufungwa wakuu TIME WILL TELL. Hahaaa I Love This Game.

1900 PM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HATUFUNGWI isave hii coment

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madrid nao wameamua kutumia academy hahahahaha kweli pesa hakuna sio bongo tu hadi ulaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana kimahesabu Academy ni ghali zaidi,mnaweza kuwa na vijana 100 mkapata vichwa vi 3, pesa kidogokidogo kwa muda mrefu, huyu Vinicius Jr amenunuliwa muda mrefu sana, uwekezaji WA muda mrefu,nasisitiza Inawezekana

Nimesoma maneno yako hadi mwisho na maneno ya mwisho umeandika "Hahahaaa i love this game" haya maneno anasemaga patrice evra mwenye DNA ya united...sasa wew kuna namna una DNA ya man u..bora utusapot tu
 
Reporter: Jose with this kind of performance, will you manager to top 4??
Jose: i think we need a miracle.

Jose: 17 games | 26 points | 0 GD
Ole: 9 games | 25 points | 17 GD

now we are in the top 4 after 9 games

what a miracle???????????????????
 
Nimesoma comment zote za wanaojiita mashabiki wa UTD, nafurahi kwa kuwa naona wengi wameibuka kati hapa baada ya OGS kushika timu. Sasa hivi wamekaza vidole gumba vyao kuibeza Chelsea kwenye game ya leo. Hehee niseme kifupi tu kazi ipo leo siyo kinyonge kama mnavyodhani.

Tambueni mi nikidraw tu nawatoa top four nyie sijaongelea ushindi hapo. Hata nikifungwa bado nafasi ya kurudi ninayo halafu mnachojisahaulisha ni kama vile hamtokuja kufungwa wakuu TIME WILL TELL. Hahaaa I Love This Game.

1900 PM

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unajidanganya big time

Mechi ya leo kati ya Chelsea na City tunaenda kuangalia tu utafungwa magoli mangapi na kuona hayo magoli yataingiaje lakini lazima kichapo kiwahusu

Na wakati Chelsea anajipanga kurudi top 4, United watakuwa wanamtafuta Spurs top 3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madrid nao wameamua kutumia academy hahahahaha kweli pesa hakuna sio bongo tu hadi ulaya

Inawezekana kimahesabu Academy ni ghali zaidi,mnaweza kuwa na vijana 100 mkapata vichwa vi 3, pesa kidogokidogo kwa muda mrefu, huyu Vinicius Jr amenunuliwa muda mrefu sana, uwekezaji WA muda mrefu,nasisitiza Inawezekana

Huyu dogo hajatokea academy wamemnunua juzi tu tena kwa bei ndefu kutoka League ya Brazil,Madrid na Barca huwa na mtindo wa kununua wale madogo chipukizi bora kutoka Brazil mapema kabla timu kubwa zozote,kuna mwingine nae Madrid washamnunua anaitwa "Rodrygo Goes" nae ni shida,atakuja msimu ujao.
 
Nimesoma comment zote za wanaojiita mashabiki wa UTD, nafurahi kwa kuwa naona wengi wameibuka kati hapa baada ya OGS kushika timu. Sasa hivi wamekaza vidole gumba vyao kuibeza Chelsea kwenye game ya leo. Hehee niseme kifupi tu kazi ipo leo siyo kinyonge kama mnavyodhani.

Tambueni mi nikidraw tu nawatoa top four nyie sijaongelea ushindi hapo. Hata nikifungwa bado nafasi ya kurudi ninayo halafu mnachojisahaulisha ni kama vile hamtokuja kufungwa wakuu TIME WILL TELL. Hahaaa I Love This Game.

1900 PM

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tunguli na ramli zinaruhusiwa lakn kwa hii united sasa hivi andaa panadol za kutosha we are the famous Manchester United

GGMU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jinsi ulivyoelewa sio tatizo langu mkuu,huwezi kuota jambo ulilozoea kulifanya labda wale ambao hawajazoea na hawajawahi since mfumo wa vyama vingi uanze Tz

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa Ahadi imetimia!

Tuliitwa Wana Wa Historia, Lakini sasa ni faraja kuwa tumepata Wanahistoria wenzetu wanaojivunia Mafanikio (EPL) ya Ferguson
 
Mkuu unajidanganya big time

Mechi ya leo kati ya Chelsea na City tunaenda kuangalia tu utafungwa magoli mangapi na kuona hayo magoli yataingiaje lakini lazima kichapo kiwahusu

Na wakati Chelsea anajipanga kurudi top 4, United watakuwa wanamtafuta Spurs top 3

Sent using Jamii Forums mobile app
Rudi soma nilicho andika. Sijasema nitashinda, nimeongelea kufungwa, draw na kushinda. Nimeongelea nyie kutubeza sisi huku mnajisahau match zina matokeo matatu. Hata nikifungwa leo nasema hiyo nafasi nakushusha anytime.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom