kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,714
- 6,490
aya mzeekajamaa kadogo kanasumbua.
Kesho Liverpool rasmi tunamkabidhisha ubingwa...
Sent using Jamii Forums mobile app
aya mzeekajamaa kadogo kanasumbua.
Kesho Liverpool rasmi tunamkabidhisha ubingwa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Pep gurdiola:" sawa, man cty tutapoteza point ila liverpool nao pia hawajaenda Old Trafford kucheza na utd".
Hapa pep anatuaminisha kuwa piga ua galagaza liver haondoki na point OT
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari mupo Top 4 sasa muombeeni mabaya Chelsea