cosmonaut
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 1,392
- 2,770
Hata tukimuombea mema hana ubavu wa kumfunga city kesho, jiandae unatushikia nafasi yetuTayari mupo Top 4 sasa muombeeni mabaya Chelsea
Daaah woga wangu... Ningelaza mpunga wa magoli mezani basi leo ingekuwa


Lukak mzito sana akicheza kama 9. Akitokea kulia anakuwa na effectLukaku akitulia anapata goli dakika 10 za mwisho naona kachoka sana anashindwa kwenda na speed ya sanchez
Sent using Jamii Forums mobile app
unaweza kumeza matapishi yako tafadhali?
Hata kama ukishinda najua utanaswa tuIkifika saa 2 usiku lete mrejesho hapa
Hata tukimuombea mema hana ubavu wa kumfunga city kesho, jiandae unatushikia nafasi yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Pumzi kisoda huyo ule msimu leicester anachukua ubingwa unaukumbuka
Hata kama ukishinda najua utanaswa tu
Man United ikimaliza ligi Juu ya Liverpool niletee namba yako ya M-PESA au Account ya CRDB/NMB Inbox nakuahidi 3M tsh.
Ulimwacha mbali sana hilo kumbukaNitanaswa lakini sio kihivyo.
Na Man United pia atanaswa subiri tu.
Hata nyie vile vile mnaweza mkatupisha kwenye hiyo nafasiTayari mupo Top 4 sasa muombeeni mabaya Chelsea



Mkuu unateseka sana aise,mwenye epl yake ndo ameamka hivyo mzeeNitanaswa lakini sio kihivyo.
Na Man United pia atanaswa subiri tu.