wewe FA?
Japo ni leo tu inatosha kuwa na furaha
anatafuta Umaarufu, huyu atakuwa Chesea, mngoje kichapo hapo darajani
akili za kale...eti michezo ni ujinga...!Hii habari ilitakiwa ipelekwe kwa vitoto na vijinga facebook.
Wakuu... kuna anayejua link ya internet ambayo naweza angalia hili game?.... waiting please....
chelsea chama langu ila leo kuna kila dalili ya kuchea kichapo...!Hahaha young ndani..rooney ndani...leo daraja linavukwa km mtaro tu...
ahsante mkuuCheki all-livesports.ru. Google it.
oyaaa mbona mkiguswa mnarukaa au ndooo...