Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
huyoo ndie webb
Ni vizuri akaacha game i-flow bila filimbi za mara kwa mara.
huyoo ndie webb
Torres naona kachoka ki ukweli wadau!anaruka ruka ru!
thanks jones..
Hii habari ilitakiwa ipelekwe kwa vitoto na vijinga facebook.
Bila kujali matokeo yatakuwaje, kwa moyo wangu wote nawaombea mabaya utd! Nyie si mashetani?! Mshindwe, mlegee, na mnyong'onyee kabisa...haahaahaaa!!
6 - 4 goal attempt chel5ea wanaongoza..