Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kocha anatakiwa achek marudio ya game ajiulize kwann tumeshambuliwa sana vile je kulikua na tatizo sehem gani na namna ya kusolve maaana ni hatari sana kukoswa koswa vile ni dalili mbaya kua kuna shida mahali na siku ukukutana na wamaliziaji wazuri utapigwa nyingi
Wabongo bwana..bro unafikiri atapotezea!! Kuna ma-Analysts special kwa ajili ya hayo mambo mzee...MAN U ni TIMU KUBWA..!!

Ugiligili
 
Nakubaliana na wewe ni bora akutangulie Arsenal kuliko team nyingine yoyote EPL Arsenal ni kama tembo mtini hujui kafikaje na unakuwa na uhakika muda wowote atadondoka tu
Mkuu mathematically Arsenal akishinda dhidi ya Chelsea itakuwa advantage kubwa kwetu. Mkuu unajua unahamu sana ya kutoka nafasi ya sita, ila fikiria, Chelsea katuzidi point sita, arsenal tuko naye sawa, just goal difference. So arsenal akishinda na sisi Tukishinda dhidi ya BHA Chelsea atadrop na kuwa only 3 points ahead. Hiyo ni advantage kwetu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashambulizi mengi yametokea kati na upande wa kushoto Shaw hakuwa vizuri na Pogba& Martial hawakuwa wanamsaidia kukaba while upande wa Young haukuwa na shida Sana na Herrera alikuwa anamsaidia Young kukaba.
De Gea amefanya 11 saves na 6 zilikuwa clear chance timu yenye clinical striker leo tungefungwa hata goli 4

Sent using Jamii Forums mobile app
Hasa martial alimuacha sana shaw kwenye kukaba hakuwa akirud nyuma kwa wakat
 
Mkuu mathematically Arsenal akishinda dhidi ya Chelsea itakuwa advantage kubwa kwetu. Mkuu unajua unahamu sana ya kutoka nafasi ya sita, ila fikiria, Chelsea katuzidi point sita, arsenal tuko naye sawa, just goal difference. So arsenal akishinda na sisi Tukishinda dhidi ya BHA Chelsea atadrop na kuwa only 3 points ahead. Hiyo ni advantage kwetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes. Thats a good advantage. Man City na Liverpool nao wapoteze.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mechi ambazo point 3 ni muhimu no matter how you win the game, a must win game. Game ya Tots was of that calibre.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi ya Tot ilikuwa strategic sana.

Mechi ya Arsenal na Chelsea nayo hivyohivyo.

Matokeo yakienda vile tunategemea na kuwaza, kuna uwezekano ligi inaisha tupo nafasi ya tatu.

Muhimu mechi ndogo zote za ushindi tusipoteze au kutoa sare.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila tuwe wa kweli Jana Mistakes za Pogba nyingi zilikuwa zinapeleka mashambulizi hatari sana kwetu.

Martial alikuwa off form ndiyo maana kafanya successful run Moja tu.

Young alikuwa uchochoro kwa Son japo hakuwa na madhara makubwa kwa sababu Herrera alikuwa anafanya cover nzuri.

Matic alijitahidi japo bado ni mzito sana na akiwa na mpira anaoption chache sana za kuufanyia akajifunze kwa Marco Verrati anachofanya pale PSG.

Man u walifanikiwa kumdhibiti Eriksen
Hasa martial alimuacha sana shaw kwenye kukaba hakuwa akirud nyuma kwa wakat

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila tuwe wa kweli Jana Mistakes za Pogba nyingi zilikuwa zinapeleka mashambulizi hatari sana kwetu.

Martial alikuwa off form ndiyo maana kafanya successful run Moja tu.

Young alikuwa uchochoro kwa Son japo hakuwa na madhara makubwa kwa sababu Herrera alikuwa anafanya cover nzuri.

Matic alijitahidi japo bado ni mzito sana na akiwa na mpira anaoption chache sana za kuufanyia akajifunze kwa Marco Verrati anachofanya pale PSG.

Man u walifanikiwa kumdhibiti Eriksen

Sent using Jamii Forums mobile app
Game ilikua hot sana mzee makosa ya mchezaji mmoja mmoja bado hayakuweza kuipa spurs point 3 pale Wembley kipindi cha kwanza kilikua upande wa United utulivu wa pogba ulizaa matunda ya kupata goli la kwanza

Kipindi cha pili spurs walitawala dakika zote 45 kulingana na ubora wao walioingia nao lakin ile team work ya United iliwanyima goli David de dea alifanya kazi nzuri sana

Game plan aliyoingia nayo OLE Kipindi cha pili ili fail mapema sana Akawa anajaribu kulinda ushindi na alifanikiwa katika hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongereni Mashetani, mpeni salamu za pongezi David De Gea, anastahili kuwa kipa bora duniani na katika mechi ya jana mimi Nampa kuwa man of the match
 
Ila tuwe wa kweli Jana Mistakes za Pogba nyingi zilikuwa zinapeleka mashambulizi hatari sana kwetu.

Martial alikuwa off form ndiyo maana kafanya successful run Moja tu.

Young alikuwa uchochoro kwa Son japo hakuwa na madhara makubwa kwa sababu Herrera alikuwa anafanya cover nzuri.

Matic alijitahidi japo bado ni mzito sana na akiwa na mpira anaoption chache sana za kuufanyia akajifunze kwa Marco Verrati anachofanya pale PSG.

Man u walifanikiwa kumdhibiti Eriksen

Sent using Jamii Forums mobile app

Man u waliingia uwanjani na pressure kubwa sana ya kushinda, hawakuwa free vichwani mwao hasa ukizingatia hawahawa totttenham waliwabamiza goli tatu.

Nina uhakika ushindi wa jana utawapa confidence wakati wakiendelea ku approach wapinzani wakali zaidi
 
Hahahahh jamaa hata kutoa hongera hakuna jamani, man utd inavutia kuitazama

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii team kama imeniloga, jana siku nzima nilikuwa nasubiri hiyo burudani. Lakini De Gea alinifurahisha sana hasa baada ya kuzima midomo ya watu waliokuwa wameanza kusema ni kipa mbovu hasa baada ya kuanza msimu vibaya.
 
Back
Top Bottom