Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

My Observation

United kupitia kwa Rashford na Martial wana pace ambayo timu yoyote duniani itapata tabu sana kui contain

Pogba keep on proving he is the world class midfield, the section of fans who has been claiming he always under perform in big matches must be disappointed

Midfield 3 of Matic, Herrera and Pogba is in 3 best midfield unit in EPL

Degea couldn't do more to prove he is ahead of Alison, Keper and co. in terms of quality

United poor performance during Mourinho's era were mere players decision due to toxic atmosphere rather than poor tactics

OGS is in love with Rashford. Despite poor showing from Rashford in dying minutes (especially in defending) OGS took out Pogba who was still a better passer (remember Lukaku needed a ball supply in counter attacks) and left Rashford in the pitch

Though, Yesterday results gave OGS more credit in managerial role race, still its too early to trust him to handle the immense role. Poch is still a candidate for me. Accuse me of anything, but not liking OGS should not be one of them.

With the coming 4-5 EPL fixtures, United could win all of them and make fourth place theirs




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kosa kubwa iliolifanya Man U ni kumfukuza The special one MOU.

Huu upepo mnapopitia nawaapia baada ya gane ya PSG tutarud hapa kuweka matanga upya na soon ile kampen yetu ya OLE-OUT itaanza rasmi.
Hongeren kwa ushindi mwembamba dhidi ya team nyepesi inayochipukia kama spurs, pia mshukurun sana De gea.
Roho itakuwa inakuuma sana, Liverpool asili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kosa kubwa iliolifanya Man U ni kumfukuza The special one MOU.

Huu upepo mnapopitia nawaapia baada ya gane ya PSG tutarud hapa kuweka matanga upya na soon ile kampen yetu ya OLE-OUT itaanza rasmi.
Hongeren kwa ushindi mwembamba dhidi ya team nyepesi inayochipukia kama spurs, pia mshukurun sana De gea.
Hizi ni ndoto sasa kwa nini tuseme ole out?
 
Ila tuwe wa kweli Jana Mistakes za Pogba nyingi zilikuwa zinapeleka mashambulizi hatari sana kwetu.

Martial alikuwa off form ndiyo maana kafanya successful run Moja tu.

Young alikuwa uchochoro kwa Son japo hakuwa na madhara makubwa kwa sababu Herrera alikuwa anafanya cover nzuri.

Matic alijitahidi japo bado ni mzito sana na akiwa na mpira anaoption chache sana za kuufanyia akajifunze kwa Marco Verrati anachofanya pale PSG.

Man u walifanikiwa kumdhibiti Eriksen

Sent using Jamii Forums mobile app
Ericksen ndie aliekua anatuvuruga muda wote wa mchezo, hakuna mtu aliekua anatuumiza kama ericksen, hatukumdhibiti kabisa, labda ni kwa sababu united hivi sasa hatuzingatii kuzibiti watu, tunaangalia sisi kama sisi tunacheza vipi basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kosa kubwa iliolifanya Man U ni kumfukuza The special one MOU.

Huu upepo mnapopitia nawaapia baada ya gane ya PSG tutarud hapa kuweka matanga upya na soon ile kampen yetu ya OLE-OUT itaanza rasmi.
Hongeren kwa ushindi mwembamba dhidi ya team nyepesi inayochipukia kama spurs, pia mshukurun sana De gea.
Mkuu kwa hiyo wewe unaona trend aliyokuwa inaendelea man u chini ya Mou ni nzuri kuliko hii ya mmaasai Ole.... Man U ya Mou ilifikia hatua haina huakika wa kuifunga timu yeyote ile kwenye ligi, si Fulham, westham Wala New Castle... South Hampton walimtimua kocha wao Dec baada ya kupata sare na Man U inayofungwa na Deby County timu ya inachemea huko Championship....
Man U ilikuwa Kila mechi fainali Ni ngumu kweli kwake na sare ikawa ndo matokeo ya huakika na timu zote za chini ya msimamo/below table...
Na hata Kama Ole akipoteza game ya PSG Bado itakuwa trend siyo mbaya maana PSG Ni moja elite clubs kwenye UCL, pia hata huyo Mou asingekuwa na hukika wa kuitoa PSG na alipata point 5 kwenye kwenye 6 kwenye EPL...
Leo unapost hiyo comments yako Man U wako nafasi ya 6 kwenye japo Ni sawa na Mou alipokuwa anatimuliwa, lakini hebu checki gap la points kutoka points 12 nje ya top 4,Hadi points 4 pekeee, - GD Hadi 13+GD, Asernal aliicha Man U 10 points ila sasa wanalingana....

HAKIKA KWELI MAN U ILIFANYA MAKOSA KUMFUKAZO MOU ambae pia HAKIKA % asingeweza wafunga PSG.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kieran trippier na davies walikua wanapanda kuja kuchezea juu kabisa ya mstari wa kati, hapo ndipo tulipotumia advantage ya martial na rashford pembeni ili kutumia mwanya wa kuwa alone kwenye flanks,
Rashford anaanzaga kati kama striker, lakini jana alicheza sana kulia na kushoto, lingard akatokea sana kati,
Angalia chances zote tulizopata, hakukuwa na defender wa spurs wa pembeni hata mmoja karibia kila chance,
Ilikua ni moja kwa moja either martial/rashford vs /vertonghen/toby,
Yani wings zetu zinapopata mpira zinafika moja kwa moja chumbani, sebule ya spurs hakuna mtu,
Angalia chance ya goli letu, angalia space aliokua nayo rashford, angalia davies alipokua, angalia wakati tripier ana-misplace pasi aliipotezea katikati kwenye mstari kabisa,
Rashford anapata pasi ya pogba, yuko moja kwa moja against last defender,
Angalia nafasi ya martial aliopiga kipa akacheza na miguu, alikuwa peke yake moja kwa moja against toby, anamchukua anapiga,
Angalia mpira ambao martial alishindwa kuucontrol ule, ilikua yuko peke yake against last defender,
Christian Erricksen alikua ana ochestrate game sana pale kati, karibia chances zote za spurs zilitoka miguuni mwa erricksen, kwenda straight kwa kane, kwenda kwa delle, kwenda kwa trippier apige krosi,
Sissoko alikuwepo kama engine ya kukokota mipira nyuma adi mbele, driving ya timu,
Lakini bado kwa technique waliokuja nayo spurs, hawakuchagua kuheshimu pace ya united iliopo kwa wale watu watatu wa juu na uwepo wa pogba chini yao ambae anaweza akapiga accurate pass pengine kuliko wengi pale Epl,
Waliamua bado kupeleka watu juu,

Naweza mlaumu potchetino kidogo,
Na hapa ndipo ninapoona potchy sio kocha mwenye mbinu za ushindi,
Unacheza na timu yenye pace kwenye counter, na umejaribu mara nyingi kupiga mashuti wanablock pale kati, beki wamejaa sana kati, kwanini usiwatanue pembeni???
Mipira mingi ya trippier kupitia pembeni ilikua na hatari zaidi kuliko, either ikisababisha rebound mbovu, au poor clearance, au direct header, ni wazi phil jones hawezi mdhibiti harry kane hewani, alizidiwa movement na harry kane, header zote za harry kane vs jones, kane aliwin header zote, hakuna clearance hata moja aliofanya jones vs harry kane,
Hata game iliopita ndio ilikua hivyo hivyo, alifunga mbele ya jones,
Game hii jones anapotezwa kila muda na kane, kane anapiga free header,
Sasa kwanini usiwafungue united ukamvuta lindelof pembeni?? kati akabaki jones ambae hawezi kummudu kane, ukapiga krosi ndani, kwanini usimlete son heung min akaja kulia, na lamela akaenda kushoto, ili kufungua defence ya united?? amekomaa kulazimisha son avunjie ndani kutokea kushoto ambapo kila akiingia anakutana na young na herrera pamoja, kule napo lamela kila akivunjia ndani anakuta watu wamesimama shaw na matic wameziba njia za mpira,
Lakini kama angechagua kwenda wide, ina maana angekutana na young pekee, kwa technique ya son au lamela wanaweza kupiga krosi juu, kwenye box la united kumejaa pogba na matic ambae hawapigi header haijalishi urefu wao, kuna herrera mfupi, shaw mfupi, jones ambae hamuwezi kane, sana sana lindelof tu,
Kitu kingine davies alikua hafanyi overlap kama trippier, aliishia sana kucheza pasi badala ya cross ins, kama ange overlap pengine nayeye angeleta madhara,
Ila alichokifanya potchy ni kuongeza pressure again and again akiamini tutashindwa kuhimili presha, anaingiza llorente anakua na double striker, lakini hawa wanaenda kucheza pale pale ambapo united wamejaa golini, mipira inaishia kugongana gongana tuu miguuni,
Ulishwahi kujiuliza kwanini leroy sane na umahiri wake wote na ufungaji wake, bado anacheza kushoto?? kwanini asitokee kulia ili alione goli vizuri??
Sababu anapofungulia kushoto mara nyingi anamfosi beki wa pembeni afungue pembeni zaidi hadi mwisho wa uwanja, ina maana lazima beki wa kati aje kuziba hii nafasi hapa, asipokuja basi mchezaji mwingine wa city anaingia kukaa pale, beki akija anatoka anaenda kukaa alipotoka beki yule, beki za kati anazivuta pembeni akina aguero na wenzie wanapita nyuma ya beki alipotoka,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa anayehoji uwezo wa Jose kama kocha, huwa siku zote ninamshangaa

Kwa anayehoji uwezo wa Jose kwenye Management, especially man management ninamuelewa vizuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mou ni kocha wangu kipenzi japo mimi sio shabiki wa Man United, matatizo yake makubwa ni mawili,
  1. Moja: hana technics za kumanage wachezaji hasa senior players, kila sehemu akitoka tatizo kubwa ni mahusiano mabaya na senior players.
  2. Tatizo lake la pili ni kama walizo nazo Klopp, PEP, Sarri la kuwa mfahidhina wa mbinu na mfumo wa kucheza soka pamoja na philosophy nzima ya game approach. Ancelloti kwa mfano ni kocha pekee anayetengeneza game formation inayoendana na wachezaji amabyo ni kitu muhimu kwenye soka. Ukienda kufundisha timu kubwa kama Barcelona ukaja na falsafa yako ya mpira isiyoendana na ya kwao huwezi kukaa pale camp nou. Man United na club zingine inabidi nao wawe na mfumo wao ambao kocha ajaye anatakiwa kufit in na sio club ndio ifit in kwenye mfumo wa kocha. Man u wangefanya hivyo Mou asingepata nafasi pale Old Traford. Ole Gunnar anachofanya sasa hivi ni kumanage club kuendana na ile falsafa aliyoiacha Furgusson na ndio maana yule mzee karudi kwenye ukocha kupitia mgongo wa Ole Gunnar.
Huo ndio mtizamo wangu
 
Na Looserfool ilikuwa timu zamani za kale

Sent using Jamii Forums mobile app
Looserfool haijawahi kuchukua kombe la English Premier League, anayebisha aje

Loosefool alichukua kombe la ligi daraja la kwanza na si ligi kuu

Looserfool wakati amechukua kombe "kipindi hicho hakukuwa na sheria ya offside"

Looserfool amechukua kombe kipindi hicho hakuna madirisha ya usajili, usajili unafanyika muda wowote

Loosefool amechukua kombe enzi hizo "captain lazima anyoe kipara"

Hiyo ni timu au makumbusho?

No wonder washabiki wengi wa Loserfool ni vidingi au ma grandpa



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mou ni kocha wangu kipenzi, tatizo lake kubwa hana technics za kumanage wachezaji, kila sehemu akitoka tatizo kubwa ni mahusiano na wachezaji. Tatizo lake la pili ni kama walizo nazo Klopp, PEP, Sarri la kuwa mfahidhina wa mbinu na mfumo wa kucheza soka pamoja na philosophy nzima ya game approach
Upo sahihi mkuu , kiukweli mimi sio fan wake ila ninamheshimu kwa mafanikio aliyopata, kuanzia Porto mpaka United (Europa ligi, kombe ambalo United hajawahi kubeba)

Huwezi kupata mafanikio yale kama huna uwezo wa kufundisha (makombe zaidi ya 20). Ndio maana sishangai wiki kadhaa baada ya kumwagwa na United, akina Perez wa Madrid na Benfica wanamtaka

Shida ya Jose ndio hiyo ya Man management. Na ndio maana huwa anapata mafanikio msimu wa kwanza na wa pili katika timu zake, baada ya hapo hali ya hewa inachafuka, timu inaboronga, kisha anafukuzwa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sahihi mkuu , kiukweli mimi sio fan wake ila ninamheshimu kwa mafanikio aliyopata, kuanzia Porto mpaka United (Europa ligi, kombe ambalo United hajawahi kubeba)

Huwezi kupata mafanikio yale kama huna uwezo wa kufundisha (makombe zaidi ya 20). Ndio maana sishangai wiki kadhaa baada ya kumwagwa na United, akina Perez wa Madrid na Benfica wanamtaka

Shida ya Jose ndio hiyo ya Man management. Na ndio maana huwa anapata mafanikio msimu wa kwanza na wa pili katika timu zake, baada ya hapo hali ya hewa inachafuka, timu inaboronga, kisha anafukuzwa


Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri anazo 25 na ndie current kocha pekee mwenye vikombe vingi japo soka na mbinu zake zinabadilika na ndio maana makocha wapya kwenye soka kama akina PEP na Zissu ndani ya muda mfupi wamepata mafanikio ambayo makocha wengine maaruf iliwachukua miaka 20-30 kuyapa. Akiacha ufahidhina anaweza kuendeleza rekodiu yake hiyo
 
Nafikiri anazo 25 na ndie current kocha pekee mwenye vikombe vingi japo soka na mbinu zake zinabadilika na ndio maana makocha wapya kwenye soka kama akina PEP na Zissu ndani ya muda mfupi wamepata mafanikio ambayo makocha wengine maaruf iliwachukua miaka 20-30 kuyapa. Akiacha ufahidhina anaweza kuendeleza rekodiu yake hiyo
Yeah..... Anachopaswa ni kubadilika kulingana na soka la sasa

Lakini jamaa strength yake kubwa ni pragmatist, kwa hilo ninamkubali. Kila game ina approach yake. Hiyo imemsaidia sana kushinda fainali nyingi alizoshiriki.

Na kutokuwa pragmatic huu ndio udhaifu mkubwa wa Klop, amekariri namna moja tu ya kucheza (anaangalia game yake, badala ya kuangalia ya kwake na ya mpinzani) ndio maana anashindwa fainali nyingi mno



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Allison vs De gea (Ukweli ni mchungu zaidi ya ladha ya gongo)
IMG_20190114_144125.jpeg
IMG_20190114_144121.jpeg
IMG_20190114_144119.jpeg
IMG_20190114_144039.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom