Kama wapinzani Wenzangu wa Jadi Poleni, Ila ukweli Manchester United ndio walicheza vizuri Evra alipanda maoni yangu alicheza vizuri as professional, Enrique hakucheza vizuri aliwacha Valencia anapiga Cross sana... LFC tulitumia nafasi tu. Caroll ilikuwa kama kucheza 10 kama sio 9. United walicheza kwa utaratibu na mpira mzuri hasa Scholes, Paul Scholes kaonyesha wachezaji wengi leo namna ya kucheza mpira kwa utulivu nakumsaidia Carrick kufuata mfano maybe watu kama kina Handerson wawe wanaiga kuwatizama wenye ujuzi. Zaidi ya hapo ni Ushindi tu ndio unakuwa muhimu kwenye mpira 2-1 ni nzuri Bellamy alibadilisha Game kidogo, Steve Gerrard alichoka mbaya kwa kuhangaika kukiwa na mijitu kama Downing na Carrol i hope wataondolewa na Kenny pia aondoke nao. United waliocheza Vizuri ni Paul Scholes Man of the Match Valencia then Evra LFC Kelly,Bellamy, Kuyt sababu ya Goli tu Handerson kajitahidi, Andy Carrol ilikuwa 0 kawapa mabeki Raha wa united.