Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huko Mapipa kuna shabiki wa Man Utd. amefariki kwa
presha. Ni kweli wala sina nia ya utani. Alazwe pema
 
The thing is hamtaki kukubali kwamba timu yenu hamna kitu pale. Mna kelele nyingi sana..bwahahahahahaha. Now u are exposed!
Nani anabisha hilo,ukweli hii ndio mojawapo ya timu ya Manu mbovu kwa miaka karibu 20, hii timu mbovu yenye viungo wazee kama Giggs,Scholes na mchovu Carick.Defence ya kina Ferdinand ambae kachoka na Evans,lakini nashangaa ilikupa kipigo kitakatifu cha goli 8
 
Sisi ndo manure...wazee wa kuwahamisha watu vilabu....mtahamia had qpr mzimu huu..
GGMU!
 
WhiteMan Evra leo sikumuona akipanda kwenda kushambulia...
 
Back
Top Bottom