Mie niko poa kabisa Mkuu namshukuru Mungu. Vipi nikutumie card mkuu ya kujiunga na chama letu la GUNNERS!? 🙂🙂
Msimamo wangu ni ule ule,SACK THE MANAGER,WENGER MUST GO!
Mkuu mwaka huu hampati kitu hata kimoja bora mkomalize hiyo FA CUP
Mkuu mwaka huu hampati kitu hata kimoja bora mkomalize hiyo FA CUP
ushindi ushindi tu ila kikosi chetu bado saaaana yaani.... tunasafari ndefu ... ila hongera Goonerz!!! haters uwanja wenu ongeeni sasa game ishakwisha
Attacking midfielder Thomas Eisfeld has completed a move to Arsenal from Borussia Dortmund on a long-term contract...
...aaaa bana, he's our "saviour!"...russian capitaine!
Naona Wenger kamlia bati Wayne Bridge, pale kushoto bado tunasuasua labda kama anampango wa kumuacha Varmelen kule kwa vile Koscienly( huyu game yake imepanda sana namkubali) na Matersecker(huwa roho inadunda sana saa nyingine pace inapoitajika) wana mudu kati kwa kiwango anachotaka.
Huyo Gibbs atarudi kliniki muda si mrefu,ombea Santos arudiGibbs na Sagna wote wamepona in one week watakuwa uwanjani .... ...