Nyoka mwenye makengeza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 870
- 779
Jana nilikuwa nacheki mechi na jamaa yangu mmoja hivi,akawa analalamika sana kuwa timu yetu bado inaruhusu wapinzani kushambulia,mimi nikamuuliza ni timu gani inacheza mechi zote bila kupata sekeseke kutoka kwa wapinzani??..analilia tu clean sheet..yaani akawa ananiboa kinoma..Man city,chelsea,spurs wote hawa gemu nyingi tu hawana clean sheet recently.Nakumbuka wakati timu imepoteana chini ya mou,kila idara ilionekana inahitaji marekebisho na hadi kufikia baadhi ya watu kutaka aina flan ya wachezaji wauzwe hawana hadhi ya kuichezea united. Lakini leo hii timu iko vizuri hao hao wachezaji wanaonekana mou alikuwa anawafuja kwa mbinu zake,sasa wanadeliver.
Herrera chini ya mou alionekana wa kawaida au mchezaji wa kumlinda mtu mmoja dakika zote 90,lakini leo hii anazurura uwanja mzima na maajabu yake sitaki kuyaongelea zaidi.
Kwa sasa timu inapata matokeo ya goli 3+ bila clean sheet tunajiaminisha kuwa defence yetu bado,lakini tungepata clean sheet walau 2 kati ya hizo game 3 usingeona ukosoaji humu. Ninachotaka kuwauliza mashabiki wenzangu humu,defence ya city,Chelsea na Liverpool inakipi cha ajabu kuliko united? Ederson,keppa na becker wanakutana na michomo mingi na kutokea pembe zote kama ilivyo kwa de gea,sema bahati yetu haijafika tu kupata clean sheet.
Nina imani kama ilivyo kwa safu yetu ya ushambuliaji kuwa kwenye wakati mzuri,itafikia zamu ya ulinzi pia kwa uimara zaidi ya huu aidha kwa mwalimu kuongeza mbinu au kujitoa kasoro ndogo walizo nazo wao wenyewe.
Tangu zama za mou,defence ilikuwa mbovu sababu tulikuwa tunaruhusu kushambuliwa zaidi tena karibu na lango letu.
Tumpe muda huyu jamaa aseme mwenyewe kama anataka striker,kiungo au beki. Siye tupate matokeo mazuri na burudani toka kwa solskjaer hayo mengine ni zaida tu
GGMU
Jana nilikuwa nacheki mechi na jamaa yangu mmoja hivi,akawa analalamika sana kuwa timu yetu bado inaruhusu wapinzani kushambulia,mimi nikamuuliza ni timu gani inacheza mechi zote bila kupata sekeseke kutoka kwa wapinzani??..analilia tu clean sheet..yaani akawa ananiboa kinoma..Man city,chelsea,spurs wote hawa gemu nyingi tu hawana clean sheet recently.
Mimi nachoweza kusema ni kuwa mabeki tulionao itafika time tutapata pair nzuri na watakuwa na hizo clean sheet,but for the mean time sisi tuendelee kufunga magoli kama mvua..
Replacement zinaweza kufanyika baadae kwenye baadhi ya maeneo lakini kwa sasa kikosi hiki bado tunaweza kudeliver vizuri tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui ubora wa defence yetu huwa tunaulinganisha na wa timu gani. City wanapunguza mashambulizi langoni mwao kwa kiungo chake kukaa na mpira muda mrefu,lakini nafasi chache wanazopata wapinzani ederson anakufa tu.
Kiungo kikikubali,automatically hata ulinzi utaboreka tu.
Bibie salama?Atleast sikuhizi weekends zinakuwa nzuri.. hongereni wapendwa.....GGMU
Sent using Jamii Forums mobile app




Hizi ni mbwe mbwe tu za kocha mpya.
Baada ya gemu tano kupita tuta tafuta nani mchawi.
Sent using Jamii Forums mobile app



Jina na kichaga hili..GGMUGGMU
Glory glory man united
Glory glory glory man united
Glory glory man united
As we go on march march march
Sent using Jamii Forums mobile app