brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,393
Hakika inapendeza
Sisi hatutaki mbwe mbwe za magoli mengi.
Huyo ndio anapaswa kuwa capten wetu basi tu
Mtazameni Herrera baada ya José kuondoka,alikuwa anatuulia kipaji kabisa.
Leo ni muhimu kushinda ili kutunga mwaka kwa ushindi. Best wishes MUFC
Asee hajawahi kuondoka amecheleweshwa sana. Ona mazingira ya timu kuingia top 4 yanavyokazaJapo mimi Man U kipindi kile nilikuwa naombea Man U ichezee vichapo mfululizo ili Mou afungashiwe virago haraka kwa sababu aina ya soka lake la kuzuia lisinge tufikisha popote bora alivyo wahi kuondoka
Duuh iniesta tena !!!Pogba anaweza kuja kumzidi Iniesta kwenye ufungaji wa magoli aisee
Nakumbuka wewe ndo ulianzisha kampeni ya Pogba aondoke..Sina hata cha kuongea
Paul pogba
Jiwe na miti peke yake vikishushwa au kuachwa mahali huwa havibadiliki lakini sio binadamuNakumbuka wewe ndo ulianzisha kampeni ya Pogba aondoke..
Ukadai kwamba hawezi kuwa juu ya timu.
Leo unamkubali tena???!!
Huu ni ushabiki wa kinafiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Açhana na masuala ya umri although mimi ni kaka yako.Jiwe na miti peke yake vikishushwa au kuachwa mahali huwa havibadiliki lakini sio binadamu
Una umri gani lakini?
Ningejua umr wako ningekufunza maana ya ushabiki huku sio siasa mpira hauna msimamo jifunze hiloAçhana na masuala ya umri although mimi ni kaka yako.
Sahisha zile kauli zako ulizotoa kuhusu pogba.
Kuna wakati nilikuambia man united ni Pogba...
Sent using Jamii Forums mobile app
Yote sawa tu hata kwenye siasa hakuna msimamo. Uwe unaweka akiba ya manenoNingejua umr wako ningekufunza maana ya ushabiki huku sio siasa mpira hauna msimamo jifunze hilo
Mpira haupo hivyo tunaangalia matokeo sio akiba ya maneno ukicheza vizur utasifiwa ukiharibu unapondwa ndo mana nakwambia huenda bado mchanga.Yote sawa tu hata kwenye siasa hakuna msimamo. Uwe unaweka akiba ya maneno
Sent using Jamii Forums mobile app
Matt Busby
Jose Mourinho
Ole Gunnar Solskjaer