Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,701
- 21,837
Yani Mkuu navuta picha kipindi kile wewe peke yako unaendesha Kampeni ya Kufukuzwa Mourinho halafu watu wanakushambulia na kukuita Hujui mpira, Unaandika pumba, Mara kama humtaki Mourinho hama timu!! [emoji23][emoji23]
Leo hii kila Mshabiki Wa Man United hapa anajifanya nayeye alishiriki katika kuendesha Kampeni za kumfukuza Mourinho kuliko Hata wewe 😀😀
Tena kuna wengine wanajifanya sasahivi kusema eti Mourinho anafaa kushtakiwa wakati walikuwa wakimtetea na kukushambulia wewe [emoji23][emoji23]
Kuna mjinga mmoja anaingia kimyakimya humu anaona haya ata kupongeza ushindi Wa OGS kutokana na misifa aliyokuwa akimpa Mourinho na Kukushambulia wewe. 😀
Inaonesha anasubiri Man United iteleze game moja tu aibuke hapa! 😀😀
Hongera Mkuu Anti-Mourinho Campaign Manager wa JF.
Hahahahahahahahaha mkuu una kumbukumbu nzuri sana hahahahahaha ...Hayo mengine tuyaaache