severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,404
Sijakuelewa ndugu,hatuna tatizo ktk back line ila atafutwe CB Wa ziada ama!? Mi naona tatizo lipo hasa kwenye beki za kati ktk kucheza mipira ya krosi,kona, na faulo. Tuna mabeki wenye vimo vizuri tu ila sijui ni timing wanakosea au nini sijui.kwa mechi hizi tatu sijaona matatizo katika back line tho tunahitaji CB mmoja
Sent from my Infinix NOTE 3 Pro using JamiiForums mobile app