Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yan inabd EPL watupangie ratiba yetu wenyw. Ingetakiwa tucheze kesho tenaa.
worldsports14-20181230-0001.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile red tungepata kipindi cha Mou nawaambia tungechoka kukaba kuanzia wachezaji mpaka mashabiki, ila sasa hivi wachezaji wamerelax wanaposess mpira kama hatupo pungufu . Mechi nyingine lini jamani sipendi kukaa mda mrefu bila kuangalia hii timu ikicheza.
Hizi goli tulizisahau zilikua mara moja kwa msimu ndo mnafunga goli tatu.

Sent using Jamii Forums mobile app
eti tungechoka kukaba wachezaji mpk mashabiki, dah! Mou kweli alichokwa

Ggmu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japo mimi Man U kipindi kile nilikuwa naombea Man U ichezee vichapo mfululizo ili Mou afungashiwe virago haraka kwa sababu aina ya soka lake la kuzuia lisinge tufikisha popote bora alivyo wahi kuondoka
 
Ile red tungepata kipindi cha Mou nawaambia tungechoka kukaba kuanzia wachezaji mpaka mashabiki, ila sasa hivi wachezaji wamerelax wanaposess mpira kama hatupo pungufu . Mechi nyingine lini jamani sipendi kukaa mda mrefu bila kuangalia hii timu ikicheza.
Hizi goli tulizisahau zilikua mara moja kwa msimu ndo mnafunga goli tatu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha ha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom