Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Anything can happen japo siyo rahisi kuwashusha wanne waliotangulia.

Mtihani ngumu wa kwamza kwa OLG ni Benitezi then Pochetino. Akipata point 3 mechi hizo, imani itaongezeka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena vyema Newcastle huwa wakikutana na Man U, wanakuwa kama wako final.
Hofu yangu nyingine ni fatigue hasahasa backline .

Good thing, MOU hayupo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PogBoom
IMG_20190101_200546.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena vyema Newcastle huwa wakikutana na Man U, wanakuwa kama wako final.
Hofu yangu nyingine ni fatigue hasahasa backline .

Good thing, MOU hayupo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wale wana ST wao anaitwa Rondon,nasikitika sana Bailly alipata red,bila beki kichaa yule jamaa atatutesa sana.
Lindelof sio mbabe,atapata shida sana.
 
Hahaha kama nawaona vile..

Mlitegemea leo Arsenal apoteze ili mupunguze gape la point hahaha

Dua zenu zimefeli ..nyie apo mlipo ndipo mnapostahili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wao wenyewe tunawasubiri Emirates pamoja na Chelsea tuwape kichapo tujihakikishie top 4,man kwa sasa si timu nzuri kabisa. Ile timu inahitaji kufanyia maamzi magumu imebeba wachezaji inaowalipa pesa nyingi zisizoendana na matokeo yao uwanjani.
Ikiwa watafanya maamzi magumu wataumia msimu mmoja tu au miwili lakn watarudi na kutesa ligi kwa muda mrefu kama awali.
Timu ikiyumba huwezi kuiinarisha shortly na ukabeba kombe ni ngumu sana. Timu hii aliondoka feg ikiwa ilishaharibika iliegeshwa tu kishikaji.
Ukiona unakereka na kauli yangu kakojoe ulale ila ukweli utabakia hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlishindwa kuifunga man u ya mourinho. Mbovu kiliko zote.. no attacking, ni defence tu. Man u ya ole hawa defence tena.. wanaenda mbele wana attack wanakaba. Wachezaji wana moralle.
Wao wenyewe tunawasubiri Emirates pamoja na Chelsea tuwape kichapo tujihakikishie top 4,man kwa sasa si timu nzuri kabisa. Ile timu inahitaji kufanyia maamzi magumu imebeba wachezaji inaowalipa pesa nyingi zisizoendana na matokeo yao uwanjani.
Ikiwa watafanya maamzi magumu wataumia msimu mmoja tu au miwili lakn watarudi na kutesa ligi kwa muda mrefu kama awali.
Timu ikiyumba huwezi kuiinarisha shortly na ukabeba kombe ni ngumu sana. Timu hii aliondoka feg ikiwa ilishaharibika iliegeshwa tu kishikaji.
Ukiona unakereka na kauli yangu kakojoe ulale ila ukweli utabakia hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wala sijapinga hilo, nilichosema mimi katika hizi mechi 3 sijaona tatizo kwa centre backs
Tatizo lipo kubwa tu ubovu unefichwa na idadi nyingi ya goli mipira iliyokufa kila tukupigia tunafungwa au de gea afanyw kaz ya ziada toka 0-0 ya crystal palace had leo hamna clean sheet maana yake ukuta wetu unaruhusu magoli tatizo lipo mkuu tunamhitaj sana koulibary
 
of course anahitajika CB lakini kwa hizi mechi 3 alizopewa OLE sijaona tatizo la Jone, Lindelof na Bailly wote wamefanya kazi zao 100%.

tumefungwa goli 3 moja la penati amesababisha Rashford against Cardiff.... Pogba na Matic walizembea katika kukaba tukaconcede na Bournemouth na Huddersfield.
 
Ukicheza offensive games unakuta mara nyingi unafunika ubovu wa defense, maana muda mwingi mpira unakuwa the other side. Especially ukicheza na timu ambazo zinacheza defense most of the times, na ukiangalia utaona lower/midtable teams huwa ni defensive approach zikikutana na top teams.

Ili uone ubovu wake ni pale utakapokutana na timu zinazoshambulia, maana nazo hazikubali ukae kwao.

Tar 13 kuna game ya Tottenham, tutapata picha kiasi.
 
Back
Top Bottom